Harriet Ward : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Harriet Ward''' ([[1808]] - [[1873]]), alikuwa [[mwandishi]] wa [[Uingereza]] ambaye [[kazi]] yake wakati mwingine hufikiriwa kama [[fasihi]] za [[Afrika Kusini]]. Aliishi Capekwenye Colony[[Koloni ya Rasi]] kwa miaka michache na [[vitabu]] vyake alivyoandika akiwa huko vilikuwa ''Five Years in Kaffirland'' na ''Jasper Lyle'', [[riwaya]] ya kwanza ya [[Kiingereza]] yenye [[mandhari]] ya Afrika Kusini.<ref name="Krüger2013">{{cite book|author=Bernard Botes Krüger|title=FOREIGN VOICES: Lessons From Colonial Era Literature About Rendering Multilingual Dialogue|url=https://books.google.com/books?id=oQfUAQAAQBAJ&pg=PA158|date=13 September 2013|publisher=Xlibris Corporation|isbn=978-1-4836-8927-2|pages=158–}}</ref> Pia aliandika makala kwa ajili ya [[hadhira]] ya kijeshi, kitu ambacho hakikuwa kawaida kwa [[mwanamke]] kufanya kwa enzi hizo. Uandishi wake umesisimua majadiliano ya kwamba je, anakubaliana ama hakubaliani na tabia za kikoloni za Uingereza.
 
==Maisha yake==