Jani Allan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha : Jani Allan 2010.jpg|thumb|px250|right|Jani 2010 '''Jani Allan''' (alizaliwa tarehe 11 Septemba 1952) ni mwanahabari, mwandishi na mtangazaji wa Afrika...'
 
No edit summary
Mstari 1:
Picha : Jani Allan 2010.jpg|thumb|px250|right|Jani 2010
'''Jani Allan''' (alizaliwa tarehe 11 Septemba 1952) ni mwanahabari, mwandishi na mtangazaji wa Afrika kusini. Alikua miongoni mwa watu mashuhuri wa kwanza kwenye vyombo vya habari kwenye miaka ya 80 na 90.<ref name=retmg/>
 
Mnamo 1980, Allan alikuwa mwandishi wa safu wa gazeti la ''[[Sunday Times (South Africa)|Sunday Times]]'', gazeti lenye mzunguko mkubwa zaidi kwa wiki la Afrika kusini. Alikuwa mwandishi safi aliyesomwa zaidi kwa muongo mmoja akichapisha safu kama ''Just Jani'', ''Jani Allan's Week'' na ''Face to Face''.Akiwa kileleni mwa umaharufu wake, gazeti lilianzisha kura ama uchaguzi wa kutafta mtu anayependwa zaidi Afrika kusini na aliibuka mshindi.<ref name="Abstracts">[http://www.faqs.org/abstracts/Retail-industry/Bauwens-had-nothing-to-be-ashamed-of-relationship-with-Mellor-misrepresented-in-press.html Abstracts] Weekly Mail.1992</ref> Mwaka 2015, Marianne Thamm wa Daily Maverick alimueleea Allan kama mwandishi mwenye ushawishi zaidi nchini humo.
 
Baadae Allan alikuwa mada ya kutamaniwa kwenye vyombo vya habari juu ya mahusino yake alifanya mahojiano na, Eugène Terre'Blanche. Allan alikana vilivyo madai ya kuwa na mahusiano na alimchukulia hatua Terre'Blanche. Allan aliondoka Afrika Kusini pale nyumba yake ilipolipuliwa na wenye mrengo wa kulia mwaka 1989. Allan aliwashitaki na kushinda maafa kutoka kwa makalia mbili za Uingereza zilizorudia madai ya mahusiano yake. Alifungua mashtaka ya kashfa dhidi ya [[Channel 4]] juu ya Makala ya Nick Broomfield ,ya The Leader, His Driver and the Driver's Wife''. Broomfield alikana kutoa madai na mashahidi wa pande zote mbili walisafirishwa kutoka Afrika kusini. Allan alishindwa mashataka hayo ambapo Hakimu alikataa kama kuna yoyote kuidanganya mahakama.
 
==Maisha ya awali==
Allan alilelewa na wenza matajiri wenye asili ya [[Afrika kusiniKusini]] na [[Uingereza]] Johnn Murray Allan na na Janet Sophia Henning akiwa na umri wa mwezi mmoja.<ref name=beeld>[http://152.111.1.88/argief/berigte/beeld/1992/07/24/12/3.html Jani het van kleins af fantastiese verbeelding gehad, sê ma] {{webarchive|url=https://web.archive.org/web/20131012015550/http://152.111.1.88/argief/berigte/beeld/1992/07/24/12/3.html |date=12 October 2013 }} Beeld. 27 July 1992</ref> Baba mlezi wa Allan aliyekua mhariri wa zamani wa ‘‘the Johannesburg daily’’, alifariki Allan akiwa na umri wa miezi nane. Mama yake alikua mfanya biashara wa vito vya thamani akiwa na duka Randburg. Allan alikuzwa na Hennings na mumewe wa pili, Walter Erick Monteith Fry. Familia iliishi Randburg kabla ya kuhamia Brayanston Sandton. Allan alisoma shule ya msingi ya Franklin D. Rooselt na shule ya msingi ya Blairgowrie
==Marejeo==
{{reflist}}
[[Jamii: Watu wa Afrika kusiniKusini]]
[[Jamii: Waandishi wa Afrika kusiniKusini]]
[[Jamii: Waliozaliwa 1952]]
[[Jamii:Wanawake wa Afrika kusiniKusini]]