Fabaceae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Masahihisho
Mstari 1:
{{Uainishaji (Mimea)
| rangi = lightgreen
| jina = Fabaceae
| picha =
| upana_wa_picha =
| maelezo_ya_picha =
| himaya = [[Planta]] <small>(mimea)</small>
| divisheni_bila_tabaka = [[Angiospermae]] <small>(Mimea inayotoa maua)</small>
| ngeli_bila_tabaka = [[Eudicots]] <small>(Mimea ambayo mche wao una majani mawili)</small>
| oda_bila_tabaka = [[Rosids]] <small>(Mimea kama [[mwaridi]])</small>
| oda = [[Fabales]] <small>(Mimea kama [[mharagwe]])</small>
| familia = [[Fabaceae]] <small>(Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)</small>
| bingwa_wa_familia = [[John Lindley|Lindl.]]
| subdivision = '''Nusufamilia 6:
Mstari 20:
* [[Faboideae]] <small>[[Velva Elaine Rudd|Rudd]]</small>
}}
'''Fabaceae''' au '''Leguminosae,''' , inayojulikana kama [[familia (biolojia)|familia]] ya '''[[Jamii kunde|mimea ya jamii ya kundemkunde]]''' na [[mmea|mimea]] aina ya '''[[maharagwemharagwe]]''', ni [[Familia (biolojia)|familia]] kubwa ya mimea yenye [[ua|maua]] yenyeiliyo na umuhimu kiuchumi na kibaolojiaki[[biolojia]]. Familia hii inajumuisha [[Mti|miti]], [[Kichaka|vichaka]] na mimea ya muda na ya msimu, ambayona inatambuliwa kwa urahisi kwa kupitia [[Tunda|matunda]] ([[Jamii kunde|kunde]]) na [[jani|majani]] yake. Mimea mingi ya jamii ya mikunde[[mkunde]] ina maua na matunda ya kipekee.
 
Familia hii imesambaa maeneo mengi duniani na ni familia ya tatu kwa ukubwa kwa mimea ya nchi kavu kwa kuzingatia idadi ya spishi, ikipitwa na familia ya [[Okidi]] na Astaraceae[[Asteraceae]] pekee. Inajumuisha takribani jenasi 751 zenye spishi zipatazo 19,000. <ref name="Christenhusz-Byng2016">{{Cite journal|last=Christenhusz, M. J. M.|last2=Byng, J. W.|year=2016|title=The number of known plants species in the world and its annual increase|url=http://biotaxa.org/Phytotaxa/article/download/phytotaxa.261.3.1/20598|journal=Phytotaxa|volume=261|issue=3|pages=201–217|doi=10.11646/phytotaxa.261.3.1|doi-access=free}}</ref> <ref name="Stevens 2001">{{Cite journal|last=Stevens, P. F.|title=Fabaceae|url=http://www.mobot.org/MOBOT/Research/APweb/orders/fabalesweb.htm#Fabaceae|journal=Angiosperm Phylogeny Website. Version 7 May 2006|access-date=28 April 2008}}</ref>
'''Fabaceae''' au '''Leguminosae,''' inayojulikana kama familia ya '''[[Jamii kunde|mimea ya jamii ya kunde]]''' na mimea aina ya '''[[maharagwe]]''', ni [[Familia (biolojia)|familia]] kubwa ya mimea yenye maua yenye umuhimu kiuchumi na kibaolojia. Familia hii inajumuisha [[Mti|miti]], [[Kichaka|vichaka]] na mimea ya muda na ya msimu ambayo inatambuliwa kwa urahisi kwa kupitia [[Tunda|matunda]] ([[Jamii kunde|kunde]]) na majani yake. Mimea mingi jamii ya mikunde ina maua na matunda ya kipekee.
 
Jenasi tano kubwa zaidi za familia hii ni ''[[Astragalus]]'' (zaidi ya spishi 3,000), ''[[Muwati|Acacia]]'' (spishi zaidi ya 1,000900), ''[[Indigofera]]'' (karibu spishi 700), ''[[Marejea|Crotalaria]]'' (spishi karibu 700), na ''[[Mimosa]]'' (karibu spishi 400). Jenasi hizi kwa pamoja zinabeba walau robo ya spishi zote za mimea ya jamii ya kundemkunde. Spishi 19,000 za jamii ya [[Jamii kunde|kunde]]mkunde zinazojulikana hadi sasa kwa pamoja zinatengeneza karibu asilimia 7[[%]] ya spishi zote za mimea yenye maua. <ref name="Magallónsperm">{{Cite journal|last=Magallón, S. A., and Sanderson, M. J.|last2=Sanderson|year=2001|title=Absolute diversification rates in angiosperm clades|url=http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|journal=Evolution|volume=55|issue=9|pages=1762–1780|doi=10.1111/j.0014-3820.2001.tb00826.x|pmid=11681732|archive-url=https://web.archive.org/web/20131019140707/http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|archive-date=19 October 2013}}</ref> Mimea ya familia hii ndiyo inayopatikana kwa wingi zaidi katika misitu ya mvua ya kitropiki na misitu kavu ya [[Amerika]] na [[Afrika]]. <ref name="Burnham">{{Cite journal|last=Burnham|first=R. J.|last2=Johnson|first2=K. R.|date=2004|title=South American palaeobotany and the origins of neotropical rainforests|journal=Philosophical Transactions of the Royal Society B: Biological Sciences|volume=359|issue=1450|pages=1595–1610|doi=10.1098/rstb.2004.1531|pmc=1693437|pmid=15519975}}</ref>
 
Familia hii imesambaa maeneo mengi duniani na ni familia ya tatu kwa ukubwa kwa mimea ya nchi kavu kwa kuzingatia idadi ya spishi, ikipitwa na familia ya Okidi na Astaraceae pekee. Inajumuisha takribani jenasi 751 zenye spishi zipatazo 19,000. <ref name="Christenhusz-Byng2016">{{Cite journal|last=Christenhusz, M. J. M.|last2=Byng, J. W.|year=2016|title=The number of known plants species in the world and its annual increase|url=http://biotaxa.org/Phytotaxa/article/download/phytotaxa.261.3.1/20598|journal=Phytotaxa|volume=261|issue=3|pages=201–217|doi=10.11646/phytotaxa.261.3.1|doi-access=free}}</ref> <ref name="Stevens 2001">{{Cite journal|last=Stevens, P. F.|title=Fabaceae|url=http://www.mobot.org/MOBOT/Research/APweb/orders/fabalesweb.htm#Fabaceae|journal=Angiosperm Phylogeny Website. Version 7 May 2006|access-date=28 April 2008}}</ref>
 
Jenasi tano kubwa zaidi za familia hii ni ''[[Astragalus]]'' (zaidi ya spishi 3,000), ''[[Muwati|Acacia]]'' (spishi zaidi ya 1,000), ''[[Indigofera]]'' (karibu spishi 700), ''[[Crotalaria]]'' (spishi karibu 700), na ''[[Mimosa]]'' (karibu spishi 400). Jenasi hizi kwa pamoja zinabeba walau robo ya spishi zote za mimea jamii ya kunde. Spishi 19,000 za jamii ya [[Jamii kunde|kunde]] zinazojulikana hadi sasa kwa pamoja zinatengeneza karibu asilimia 7 ya spishi zote za mimea yenye maua. <ref name="Magallónsperm">{{Cite journal|last=Magallón, S. A., and Sanderson, M. J.|last2=Sanderson|year=2001|title=Absolute diversification rates in angiosperm clades|url=http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|journal=Evolution|volume=55|issue=9|pages=1762–1780|doi=10.1111/j.0014-3820.2001.tb00826.x|pmid=11681732|archive-url=https://web.archive.org/web/20131019140707/http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|archive-date=19 October 2013}}</ref> Mimea ya familia hii ndiyo inayopatikana kwa wingi zaidi katika misitu ya mvua ya kitropiki na misitu kavu ya [[Amerika]] na [[Afrika]]. <ref name="Burnham">{{Cite journal|last=Burnham|first=R. J.|last2=Johnson|first2=K. R.|date=2004|title=South American palaeobotany and the origins of neotropical rainforests|journal=Philosophical Transactions of the Royal Society B: Biological Sciences|volume=359|issue=1450|pages=1595–1610|doi=10.1098/rstb.2004.1531|pmc=1693437|pmid=15519975}}</ref>
 
==== Uainishaji wa kisayansi ====
Fabaceae imewekwa katika oda ya [[Fabales]] kulingana na mifumo mingi ya uainishaji, ukiwemo [[mfumo wa APG III]] . Kwa sasa, familia hii inajumuisha [[nusufamilia]] sita: <ref name="6subfamilies">{{Cite journal|last=The Legume Phylogeny Working Group (LPWG).|year=2017|title=A new subfamily classification of the Leguminosae based on a taxonomically comprehensive phylogeny|journal=[[Taxon (journal)|Taxon]]|volume=66|issue=1|pages=44–77|doi=10.12705/661.3|doi-access=free}}</ref>
 
* [[Kaisalpinioideae|Caesalpinioideae]] : jenasi 148 na takribani spishi 4400. Imeenea zaidi kwenye hali za kitropiki, mfano ''[[Kaisalpinia|Caesalpinia]]'', ''[[Senna (mmea)|Senna]]'', ''[[Mimosa]]'', ''[[Muwati|Acacia]]'' . Inajumuisha familia ya zamani ya Mimosoideae (jenasi 80 na spishi takribani 3200; hupatikaana haswa kwenye hali za kitropiki, na ukanda wa Asia na Amerika wenye joto kiasi (temperate)
* [[Cercidoideae]]: jenasi 12 na spishi takribani 335. Hupatikana zaidi kwenye hali za kitropiki. ''[[Mchekwa|Bauhinia]]'', ''[[Cercis]]'' .
* [[Detarioideae]] : jenasi 84 na spishi takribani 760. Imeenea zaidi kwenye hali za kitropiki. ''[[Amherstia]]'', ''[[Detariamu|Detarium]]'', ''[[Mkwaju|Tamarindus]]'' .
* [[Dialioideae]] : jenasi 17 na spishi takribani 85. Imeenea katika maeneo ya tropiki. ''[[Dialiamu]]'' .
* [[Duparquetioideae]] : jenasi 1 na spishi 1. Inapatikana Afrika Magharibi na Kati. ''[[Duparquetia]]'' .
* [[Faboideae]] (Papilionoideae <ref>NOTE: The subfamilial name Papilionoideae for Faboideae is approved by the [[International Code of Nomenclature for algae, fungi, and plants]], Article 19.8</ref> ): genera 503 na spishi ~ 14,000. Hupatikana maeneo mengi. Mfano: ''[[Astragalus]]'', ''[[Mlupini|Lupinus]]'', ''[[Pisum]]'' .
* [[Dialioideae]] : jenasi 17 na spishi takribani 85. Imeenea katika maeneo ya tropiki. ''[[Dialiamu]]'' .
* [[Kaisalpinioideae|Caesalpinioideae]] : jenasi 148 na takribani spishi 4400. Imeenea zaidi kwenye hali za kitropiki, mfano ''[[Kaisalpinia|Caesalpinia]]'', ''[[Senna (mmea)|Senna]]'', ''[[Mimosa]]'', ''[[Muwati|Acacia]]'' . Inajumuisha familia ya zamani ya Mimosoideae (jenasi 80 na spishi takribani 3200; hupatikaana haswa kwenye hali za kitropiki, na ukanda wa Asia na Amerika wenye joto kiasi (temperate)
* [[Faboideae]] (Papilionoideae <ref>NOTE: The subfamilial name Papilionoideae for Faboideae is approved by the [[International Code of Nomenclature for algae, fungi, and plants]], Article 19.8</ref> ): genera 503 na spishi ~ 14,000. Hupatikana maeneo mengi. Mfano: ''[[Astragalus]]'', ''[[Mlupini|Lupinus]]'', ''[[Pisum]]'' .
 
==Marejeo==