Rupia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 5:
 
== Jina na historia ==
[[Picha:Rupee, 1887 - British India, Victoria.jpg|thumb|200px|Rupia (1887) [[Uhindi ya Kiingereza]], [[Viktoria wa Uingereza|Victoria]]]]
[[Neno]] "rupia" limetokana na [[lugha]] ya [[Kihindi]] cha kale "rūp" au "rūpā" linalomaanisha "fedha". Katika lugha ya [[Sanskrit]] "rupyakam" (रूप्यकम्) inamaanisha [[sarafu]] ya [[fedha]]. Hii ni [[asili]] ya "Rūpaya" iliyotumika katika India kama sarafu yenye [[gramu]] 11.66 za fedha tangu mwaka [[1540]]. Rupia moja ilikuwa na Anna 16, Paisa 64 au Pai 192.