Perseverance (gari la upelelezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
[[Picha:PIA23882-MarsHelicopterIngenuity-20200429 (trsp).png|thumb|Helikopta ndogo ya Mirihi ("Ingenuity")]]
=== Jaribio la helikopta ya Mirihi ===
Pamoja na Perseverance, [[helikopta]] ndogo ilipelekwa Mirihi. Hii ni droni (ndege isiyo na rubani) ndogo yenye uzito wa [[kg]] 1.8 pekee iliyopewa jina ''[[Ingenuity (Mirihi)|Ingenuity]]''. Inabeba [[kamera]] moja tu <ref>{{Cite web|url=https://www.bbc.com/news/science-environment-49512101|title=Mars mission readies tiny chopper for Red Planet flight|work=BBC News|date=29 August 2019}}</ref> <ref name="VRG-20180511">{{Cite web|author=Gush|first=Loren|title=NASA is sending a helicopter to Mars to get a bird's-eye view of the planet – The Mars Helicopter is happening, y'all|url=https://www.theverge.com/2018/5/11/17346414/nasa-mars-2020-helicopter-atmosphere|date=11 May 2018|publisher=The Verge|accessdate=11 May 2018}}</ref> . Kusudi lake ni kwanza kuonyesha kama inawezekana kweli kutumia usafiri wa hewani katika angahewa nyepesi sana ya sayari hiyo. Pili itatumika kwa kupeleleza njia ya Perseverance kama kuna vizuizi vikubwa. Itaonyesha pia kama chombo nyepesi kama hicho kitavumilia [[ubaridi]] mkali wa usiku kwenye Mirihi. Ikiweza kutumika tena asubuhi, marubani zake waliopo duniani wataendelea kupeleleza mazingira na kupiga picha.
 
Mawasiliano yake na Dunia ni kupitia kituo cha redio kilichopo kwenye Perseverance.<ref>{{Cite web|url=https://www-robotics.jpl.nasa.gov/publications/Richard_Volpe/isairas%202014%20paper,%20volpe,%20v8.pdf|title=2014 Robotics Activities at JPL|author=Volpe|first=Richard|work=Jet Propulsion Laboratory|publisher=NASA|accessdate=1 September 2015|archivedate=21 February 2021|archiveurl=https://web.archive.org/web/20210221200009/https://www-robotics.jpl.nasa.gov/publications/Richard_Volpe/isairas%202014%20paper,%20volpe,%20v8.pdf}} {{PD-notice}}</ref>