Titani (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
angahewa
Mstari 5:
Pamoja na [[Dunia]] yetu ni mahali pa pekee penye [[angahewa]] nzito ya gesi. Lakini haifai kwa [[binadamu]] kwa sababu ni baridi sana na gesi zake ni [[nitrojeni]] pamoja na [[hidrokaboni]] kama [[methani]]. Pamoja na Dunia ni pia mahali pa pekee katika [[mfumo wa Jua]] penye [[Ziwa|maziwa]] na [[mito]] lakini hii si ya [[maji]] bali na methani kiowevu.<ref>{{citeweb|url=http://www.nature.com/nature/journal/v445/n7123/abs/nature05438.html|title=The lakes of Titan
|publisher=Nature|accessdate=2011-03-13}}</ref><ref>{{cite web|author=Cox, Brian|url=http://www.bbc.co.uk/science/space/solarsystem/moons/titan_(moon)#p0070hxn|title=BBC: Science: Space: Solar System: Moons: Titan: Methane rain on Titan|format=Video|publisher=BBC|accessdate=2011-03-13}}</ref>
 
Angahewa ya Titan ina [[shinikizo]] mara 1.45 juu ya Dunia; [[densiti]] yake ni mara nne densiti ya angahewa ya Dunia. Tabia hizo, pamoja kiwango kidogo cha upepo na [[graviti]] iliyo ndogo kuliko duniani, zinaaminiwa kuruhusu upelelezi wa mwezi huo kwa njia ya vyombo vya hewani. Mamlaka ya usafiri wa anga ya Marekani inaandaa [[Dragonfly (Titan)|mradi wa Dragonfly]] itakayopeleka helikopta Titan kwenye mwaka 2037.
 
== Muundo ==