Titani (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 27:
|publisher=Nature|accessdate=2011-03-13}}</ref><ref>{{cite web|author=Cox, Brian|url=http://www.bbc.co.uk/science/space/solarsystem/moons/titan_(moon)#p0070hxn|title=BBC: Science: Space: Solar System: Moons: Titan: Methane rain on Titan|format=Video|publisher=BBC|accessdate=2011-03-13}}</ref>
 
Angahewa ya Titan ina [[shinikizo]] mara 1.45 juu ya Dunia; [[densiti]] yake ni mara nne densiti ya angahewa ya Dunia. Tabia hizo, pamoja kiwango kidogo cha upepo na [[graviti]] iliyo ndogo kuliko duniani, zinaaminiwa kuruhusu upelelezi wa mwezi huo kwa njia ya vyombo vya hewani. Mamlaka ya usafiri wa anga ya Marekani inaandaa [[Dragonfly (Titan)|mradi wa Dragonfly]] itakayopeleka helikopta Titan kwenye mwaka 2037<ref>[https://www.salon.com/2021/04/20/after-ingenuitys-successful-mars-flight-nasa-plans-to-fly-a-huge-rotorcraft-on-saturns-moon/ After Ingenuity's successful Mars flight, NASA plans to fly a huge rotorcraft on Saturn's moon], tovuti ya Salon.com, tarehe 20 Aprili 2021</ref>.
 
==Cassini-Huygens==