Trevor Noah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
File
No edit summary
 
Mstari 2:
 
| jina = Trevor Noah
| picha = Trevor Noah 2017.jpg
| maelezo_ya_picha = Trevor Noah 2017
| jina la kuzaliwa = Trevor Noah
| tarehe ya kuzaliwa = {{birth date and age|1984|2|20|df=yes}}
Mstari 17:
| tovuti = {{url|treornoah.com}}
}}
[[File:Trevor Noah 2017.jpg|thumb|Trevor Noah 2017]]
 
'''Trevor Noah''' (amezaliwa [[tarehe]] [[20 Februari]] [[1984]]) ni [[mchekeshaji]] na [[mtangazaji]] wa [[radio]] na [[televisheni]] kutoka [[Afrika ya Kusini]], maarufu sana kwa utangazaji wake kwenye kipindi cha The Daily Show katika mtandao wa Kimarekani wa Comedy Central tangu Septemba 2015.
 
Noah alianza maisha yake ya sanaa kama mtangazaji, muigizaji na mchekeshaji nchini Afrika ya Kusini. Ameshika nafasi mbalimbali za utangazaji katika Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC), na alishika nafasi ya pili kwenye msimu wa nne wa ''Strictly Come Dancing'' mwaka 2008.
Line 31 ⟶ 30:
{{reflist}}
{{mbegu-mtu}}
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1984]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wasanii wa Afrika Kusini]]