Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 46:
 
:Nashukuru sana Riccardo! Kusema kweli napata changamoto kuandika makala kwa kiswahili japo ni mzungumzaji mzawa. Hua naandika na kutafsiri kadri ya uwezo wangu na kutumai watu wengine watanirekebisha. Hua siachi tafsiri ya computer peke yake. Naendelea kujifunza '''[[Mtumiaji:Aneth David (SLU)|Aneth David (SLU)]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Aneth David (SLU)#top|majadiliano]])''' 11:52, 16 Aprili 2021 (UTC)
 
==Kigezo cha Vyanzo==
Siku hizi unaweka mara kadhaa kigezo hicho. Badala ya kuridhika kuweka vigezo vinavyoagiza kazi fulani, tunashauriwa kufanya wenyewe kazi hiyo, yaani tuboreshe makala, si kuilaumu tu. Pia zingatia kwamba makala nyingi za zamani hazina vyanzo kwa sababu ya kutovisisitiza mwanzoni mwa Wiki yetu. Hatimaye makala nyingine haziwezi kuwa ndefu wala kuwa na vyanzo vingi kutokana na mada yenyewe, k.mf. [[Pagieli]]. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 13:38, 21 Aprili 2021 (UTC)