Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 70:
===Picha kutoka nje ya Wikipedia?===
Hapa lazima kuwa waangalifu maana katika Wikipedia hatutaki matatizo ya kisheria. Tunaheshimu hatimiliki za picha!
 
====Kuomba hatimiliki====
Ukimjua mwenye hatimiliki ya picha (mpiga picha, mchoraji wa taswira/katuni) unaweza kuomba kibali chake kwamba kazi yake ipelekwe kwenye laiseni huria. Soma mifano ya barua uanyoweza kuandika, na barua / email itakayohitajika kutoka mwenye haki hapa: [[:en:Wikipedia:Example_requests_for_permission]].
 
====Kutoka google-search?====