Fabaceae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Picha imeongezwa
No edit summary
Mstari 26:
 
Jenasi tano kubwa zaidi za familia hii ni ''[[Astragalus]]'' (zaidi ya spishi 3,000), ''[[Muwati|Acacia]]'' (spishi zaidi ya 900), ''[[Indigofera]]'' (karibu spishi 700), ''[[Marejea|Crotalaria]]'' (spishi karibu 700), na ''[[Mimosa]]'' (karibu spishi 400). Jenasi hizi kwa pamoja zinabeba walau robo ya spishi zote za mimea ya jamii ya mkunde. Spishi 19,000 za jamii ya mkunde zinazojulikana hadi sasa kwa pamoja zinatengeneza karibu 7[[%]] ya spishi zote za mimea yenye maua. <ref name="Magallónsperm">{{Cite journal|last=Magallón, S. A., and Sanderson, M. J.|last2=Sanderson|year=2001|title=Absolute diversification rates in angiosperm clades|url=http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|journal=Evolution|volume=55|issue=9|pages=1762–1780|doi=10.1111/j.0014-3820.2001.tb00826.x|pmid=11681732|archive-url=https://web.archive.org/web/20131019140707/http://loco.biosci.arizona.edu/pdfs/MagallonEvolution2001.pdf|archive-date=19 October 2013}}</ref> Mimea ya familia hii ndiyo inayopatikana kwa wingi zaidi katika misitu ya mvua ya kitropiki na misitu kavu ya [[Amerika]] na [[Afrika]]. <ref name="Burnham">{{Cite journal|last=Burnham|first=R. J.|last2=Johnson|first2=K. R.|date=2004|title=South American palaeobotany and the origins of neotropical rainforests|journal=Philosophical Transactions of the Royal Society B: Biological Sciences|volume=359|issue=1450|pages=1595–1610|doi=10.1098/rstb.2004.1531|pmc=1693437|pmid=15519975}}</ref>
 
Tafiti za hivi karibuni zilizotumia njia za kimolekula na maumbile zinaonyesha kwamba familia ya Fabaceae ni kundi la kijenetiki kutoka kwa mhenga mmoja. <ref name="Lewis">Lewis G., Schrire B., Mackinder B. and Lock M. 2005. (eds.) Legumes of the world. The Royal Botanic Gardens, Kew, Reino Unido. 577 pages. 2005. {{ISBN|1-900347-80-6}}</ref> Swala hili linapata mkazo kutokana na uhusiano kati ya makundi ya mimea ndani ya familia hii, uhusiano wa familia hii mimea inayokaribiana nayo pamoja na tafiti za jenetika zinazotumia [[DNA|Asidi Kiinideoksiribo]].<ref name="doyle">Doyle, J. J., J. A. Chappill, C.D. Bailey, & T. Kajita. 2000. Towards a comprehensive phylogeny of legumes: evidence from rbcL sequences and non-molecular data. pp. 1 -20 in Advances in legume systematics, part 9, (P. S. Herendeen and A. Bruneau, eds.). Royal Botanic Gardens, Kew, UK.</ref><ref name="Kajita">{{cite journal | last1 = Kajita | first1 = T. | last2 = Ohashi | first2 = H. | last3 = Tateishi | first3 = Y. | last4 = Bailey | first4 = C. D. | last5 = Doyle | first5 = J. J. | year = 2001 | title = ''rbcL'' and legume phylogeny, with particular reference to Phaseoleae, Millettieae, and allies | url = https://www.researchgate.net/publication/232696212 | journal = Systematic Botany | volume = 26 | issue = 3| pages = 515–536 | jstor = 3093979 | doi = 10.1043/0363-6445-26.3.515 | doi-broken-date = 25 February 2021 }}</ref><ref name="Wojciechowski">{{cite journal | author=Wojciechowski, M. F., M. Lavin and M. J. Sanderson |year=2004 |title=A phylogeny of legumes (Leguminosae) based on analysis of the plastid matK gene resolves many well-supported sub clades within the family |url=http://www.amjbot.org/cgi/content/full/91/11/1846 | journal=American Journal of Botany | volume=91 |issue=11 |pages=1846–1862 |pmid=21652332 |last2=Lavin |last3=Sanderson |doi=10.3732/ajb.91.11.1846 |doi-access=free }}</ref>. Tafiti hizi zimeonyesha kwamba mimea ya familia ya Fabaceae ni kundi lenye jadi moja linalohusiana kwa ukaribu na familia za [[Polygalaceae]], [[Surianaceae]] na [[Quillajaceae]] ambazo kwa pamoja zipo chini ya oda ya [[Fabales]].<ref name="Angiosperm">{{cite journal | author=Angiosperm Phylogeny Group [APG] |year=2003 |title=An update of the Angiosperm Phylogeny Group classification for the orders and families of flowering plants: APG II |url=http://www.biodiversitas.org.br/floraBr/apg2.pdf | journal=Botanical Journal of the Linnean Society |volume=141 |issue=4 |pages=399–436 |doi=10.1046/j.1095-8339.2003.t01-1-00158.x}}</ref>
 
Baadhi ya mimea ya familia ya Leguminosae imekua chanzo kikuu cha chakula cha binadamu kwa milenia nyingi pamoja na [[nafaka]], baadhi ya matunda na vyakula vya mizizi vya kitropiki. Matumizi ya vyakula hivi yanahusiana kwa ukaribu na mageuko ya binadamu.<ref name="uno">Burkart, A. Leguminosas. ''In:'' Dimitri, M. 1987. ''Enciclopedia Argentina de Agricultura y Jardinería''. Tomo I. Descripción de plantas cultivadas. Editorial ACME S.A.C.I., Buenos Aires. pages: 467-538</ref> Familia hii inajumuisha mimea mingi yenye umuhimu kwanye kilimo na chakula, ikiwemo ''Glycine max'' (maharagwe ya soya), ''[[Phaseolus]]'' (maharagwe), ''Pisum sativum'' ([[njegere]]), ''Cicer arietinum'' (njegere kubwa), ''Medicago sativa'' ([[luseni]]), ''Arachis hypogaea'' ([[karanga]]), ''[[Ceratonia siliqua]]'' (karuba), na ''[[Glycyrrhiza glabra]]''. Spishi nyingine za familia hii zinatambulika kama magugu sehemu mbali mbali duniani zikiwemo: ''[[Cytisus scoparius]]'', ''[[Robinia pseudoacacia]]'', ''[[Ulex europaeus]]'', ''[[Pueraria montana]]'', na baadhi ya spishi za jenasi ''[[Lupinus]]''.
 
== Maana na chanzo cha Jina ==
Jina 'Fabaceae' linatokana na jenasi ya zamani ''Faba'' ambayo kwa sasa ipo ndani ya jenasi ''[[Vicia]]''. Neno "faba" linatoka kwenye kilatini, maana yake nyepesi ikiwa ni "haragwe". Leguminosae ni jina la zamani ambalo bado linakubalika ambalo linaelezea [[tunda]] la mimea ya familia hii, ambayo inaitwa ''legumes'' kwa jina la kiingereza.
 
==== Uainishaji wa kisayansi ====