Fabaceae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Legume (Fabaceae) - Kitchener, Ontario 02.jpg|thumb|''Matunda ya mimea jamii ya mikunde'']]
{{Uainishaji (Mimea)
| rangi = lightgreen
Mstari 34:
Jina 'Fabaceae' linatokana na jenasi ya zamani ''Faba'' ambayo kwa sasa ipo ndani ya jenasi ''[[Vicia]]''. Neno "faba" linatoka kwenye kilatini, maana yake nyepesi ikiwa ni "haragwe". Leguminosae ni jina la zamani ambalo bado linakubalika ambalo linaelezea [[tunda]] la mimea ya familia hii, ambayo inaitwa ''legumes'' kwa jina la kiingereza.
 
==== Uainishaji wa kisayansi ====
Fabaceae imewekwa katika oda ya [[Fabales]] kulingana na mifumo mingi ya uainishaji, ukiwemo [[mfumo wa APG III]]. Kwa sasa, familia hii inajumuisha [[nusufamilia]] sita: <ref name="6subfamilies">{{Cite journal|last=The Legume Phylogeny Working Group (LPWG).|year=2017|title=A new subfamily classification of the Leguminosae based on a taxonomically comprehensive phylogeny|journal=[[Taxon (journal)|Taxon]]|volume=66|issue=1|pages=44–77|doi=10.12705/661.3|doi-access=free}}</ref>