Fabaceae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 31:
Baadhi ya mimea ya familia ya Leguminosae imekua chanzo kikuu cha chakula cha binadamu kwa milenia nyingi pamoja na [[nafaka]], baadhi ya matunda na vyakula vya mizizi vya kitropiki. Matumizi ya vyakula hivi yanahusiana kwa ukaribu na mageuko ya binadamu.<ref name="uno">Burkart, A. Leguminosas. ''In:'' Dimitri, M. 1987. ''Enciclopedia Argentina de Agricultura y Jardinería''. Tomo I. Descripción de plantas cultivadas. Editorial ACME S.A.C.I., Buenos Aires. pages: 467-538</ref> Familia hii inajumuisha mimea mingi yenye umuhimu kwanye kilimo na chakula, ikiwemo ''Glycine max'' (maharagwe ya soya), ''[[Phaseolus]]'' (maharagwe), ''Pisum sativum'' ([[njegere]]), ''Cicer arietinum'' (njegere kubwa), ''Medicago sativa'' ([[luseni]]), ''Arachis hypogaea'' ([[karanga]]), ''[[Ceratonia siliqua]]'' (karuba), na ''[[Glycyrrhiza glabra]]''. Spishi nyingine za familia hii zinatambulika kama magugu sehemu mbali mbali duniani zikiwemo: ''[[Cytisus scoparius]]'', ''[[Robinia pseudoacacia]]'', ''[[Ulex europaeus]]'', ''[[Pueraria montana]]'', na baadhi ya spishi za jenasi ''[[Lupinus]]''.
 
== Maana na chanzo cha Jinajina ==
Jina 'Fabaceae' linatokana na jenasi ya zamani ''Faba'' ambayo kwa sasa ipo ndani ya jenasi ''[[Vicia]]''. Neno "faba" linatoka kwenye kilatini, maana yake nyepesi ikiwa ni "haragwe". Leguminosae ni jina la zamani ambalo bado linakubalika ambalo linaelezea [[tunda]] la mimea ya familia hii, ambayo inaitwa ''legumes'' kwa jina la kiingereza.