Kikalio cha Dhahabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Golden_stool_31_January_1935.jpg|thumb| Kikalio cha Dhahabu kwenye kiti chake cha enzi, ''hwedom dwa'' (1935)]]
[[Picha:Flag_of_Ashanti.svg|thumb| Bendera ya Ufalme wa Ashanti inayoonyesha Kikalio cha Dhahabu ]]
'''Kikalio cha Dhahabu''' (kwa Ashanti[[Kiashanti]] - Twi [[Kitwi]]: '''Sika Dwa Kofi''', "Kiti cha Dhahabu kilichozaliwa Ijumaa"; kwa [[Kiingereza]]: ''Golden Stool'') ni [[kiti cha enzi]] cha kifalme cha [[wafalme]] wa [[Ufalme wa Ashanti]] na [[ishara]] kuu ya [[mamlaka]] kuu. <ref name="britm">{{Cite web|title=African Gold-weights in the British Museum|url=http://www.britishmuseum.org/research/online_research_catalogues/agw/african_gold-weights/glossary.aspx}}</ref> Kulingana na [[mapokeo]], [[Okomfo Anokye]], [[Kuhani Mkuumkuu]] na mmoja wa [[waanzilishi]] wakuu wa [[ufalme wa Ashanti]], alisababisha kikalio hicho kushuka kutoka [[mbinguni]] na kutua kwenye [[paja]] la [[Osei Tutu]] aliyekuwa mfalme wa kwanza wa Ashanti.<ref>{{Cite web|url=https://www.graphic.com.gh/news/general-news/ghana-news-how-the-asantehene-climaxed-the-20th-anniversary-on-the-golden-stool.html|work=www.graphic.com.gh|accessdate=2019-05-18|title=How the Asantehene climaxed the 20th anniversary on the Golden Stool &#91;PHOTOS&#93;|date=2019-04-22}}</ref>
 
Kikalio cha Dhahabu kinaaminika kuwa na [[roho]] <ref>{{Cite journal|last=Kyerematen|first=A.|date=1969|title=The Royal Stools of Ashanti|journal=Africa: Journal of the International African Institute|volume=39|issue=1|pages=1–10|doi=10.2307/1157946|issn=0001-9720|jstor=1157946}}</ref> ya [[Ufalme wa Ashanti|taifa la Ashanti]] ndani yake..
 
== Mgogoro wa kihistoria ==
[[Vita]] nyingi <ref>{{Cite web|url=http://ringmar.net/irhistorynew/index.php/2018/10/14/golden-stool-of-the-asante/|title=Golden Stool of the Asante|date=2018-10-14|work=History of International Relations|language=en-US|accessdate=2020-02-22|archivedate=2019-10-28|archiveurl=https://web.archive.org/web/20191028235645/http://ringmar.net/irhistorynew/index.php/2018/10/14/golden-stool-of-the-asante/}}</ref> zimeibuka juu ya [[umiliki]] wa [[kiti]] hicho cha kifalme. <ref>{{Cite web|url=https://asante.neocities.org/stools.html|title=Asante Art - Artefacts - Stools|work=asante.neocities.org|accessdate=2020-02-22}}</ref> Mnamo [[mwaka]] wa [[1900]], [[Sir]] [[Frederick Hodgson]], [[Gavana]] [[Mwingereza]] wa [[Gold Coast]], alitaka <ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/history/golden_stool.php|title=History of Golden Stool|work=www.ghanaweb.com|accessdate=2020-02-22}}</ref> kukalia Kikalio cha Dhahabu akaamuru kipelekwe mbele yale. Lakini [[Waasante]] walikificha. Ufatwaji wa kiti ulisababisha [[uasi]] wenye [[silaha]] unaojulikana kama [[Vita ya Kikalio cha Dhahabu]], ambayo ilisababisha kutwaliwa kwa maeneo ya Ashanti kutwaliwa na [[Uingereza]] na kuwa [[koloni]]. Lakini Waingereza walishindwa kupata kiti.
 
Mnamo [[1921]], [[wafanyakazi]] [[Waafrika]] kadhaa waliojenga [[barabara]] waligundua kikalio cha dhahabu wakavua [[mapambo]] kadhaa ya [[dhahabu]]. Walikamatwa na Waingereza, kabla ya kuhukumiwa [[adhabu ya kifo]] kulingana na [[mila]] ya Ashanti na kuhukumiwa kifo. Waingereza waliingilia kati na badala yake wahukumiwa walifukuzwa katika Ghana badala yake. Hapo [[serikali]] ya kikoloni iliahidi kwamba haitaingilia tena katika mambo ya kikalio kikatolewa mafichoni. <ref name="Carmichael176">{{Cite book|title=African Eldorado - Gold Coast to Ghana|last=Carmichael|first=John|publisher=Gerald Duckworth & Co. Ltd|year=1993|isbn=0-7156-2387-7|pages=176–77}}</ref>
 
Mnamo mwaka wa [[1935]] kikalio kilitumika katika [[sherehe]] ya kumtawaza Osei Tutu Agyeman Prempeh II . <ref name="nyt99">{{Cite news|title=Opoku Ware II, King of Asante, Is Dead at 89|author=Michael T. Kaufman|date=March 4, 1999|url=https://www.nytimes.com/1999/03/04/world/opoku-ware-ii-king-of-asante-is-dead-at-89.html}}</ref>
 
== Muonekano na ufundi ==
[[Picha:The_Childrens_Museum_of_Indianapolis_-_Queen_Mothers_stool.jpg|right|thumb| Kiti cha Waakan kinachofanana na muundo wa Kikalio cha Dhahabu]]
Kikalio cha Dhahabu ni kiti kilichopindika [[sm]] 46&nbsp;cm juu chenye nafasi ya [[upana]] wa sentimita 61 kwa 30.<ref>{{Cite web|url=https://face2faceafrica.com/article/how-a-mysterious-golden-stool-is-keeping-the-great-ashanti-kingdom-united|title=How a mysterious Golden Stool is keeping the great Ashanti kingdom united|date=2018-09-20|work=Face2Face Africa|language=en|accessdate=2020-02-22}}</ref> [[Uso]] wake wote umepambwa kwa dhahabu, na umetundikwa na [[kengele]] kumwonya [[mfalme]] juu ya hatari inayokuja. <ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=HUqUAAAAQBAJ&q=Its+entire+surface+is+inlaid+with+gold,+and+hung+with+bells+to+warn+the+king+of+impending+danger.&pg=PR19|title=The Facet of Black Culture|last=Yussif|first=Elias|date=2013-07-24|publisher=Trafford Publishing|isbn=978-1-4669-8848-4|language=en}}</ref>  <sup class="noprint Inline-Template" style="white-space:nowrap;">&#x5D;</sup> Haikuonekana na [[watu]] wengi, ilhali ni mfalme tu, [[malkia]], na washauri wanaoaminika wanajua maficho yake.
 
Mifano yake yametengenezwa kwa ajili ya [[Chifu|machifu]] na kwenye [[mazishi]] yao inapakwa na [[damu]] ya [[wanyama]]. <ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=qHc_AwAAQBAJ&q=Replicas+have+been+produced+for+the+chiefs+and+at+their+funerals+are+ceremonially+blackened+with+animal+blood,+a+symbol+of+their+power+for+generations&pg=PA75|title=My Door is Always Open: A Memoir|last=Hadzija|first=Boka|date=November 2013|publisher=Xlibris Corporation|isbn=978-1-4836-2925-4|language=en}}</ref>  <sup class="noprint Inline-Template" style="white-space:nowrap;">&#x5D;</sup> Kikalio cha dhahabu ni moja ya [[ishara]] kuu za Asante leo kwa sababu bado inaonyesha mfululizo wa kifalme na [[mamlaka]]. <ref name=":1">{{Cite web|url=https://asante.neocities.org/stools.html|title=Asante Art - Artefacts - Stools|work=asante.neocities.org|accessdate=2020-02-22}}<cite class="citation web cs1" data-ve-ignore="true">[https://asante.neocities.org/stools.html "Asante Art - Artefacts - Stools"]. ''asante.neocities.org''<span class="reference-accessdate">. Retrieved <span class="nowrap">2020-02-22</span></span>.</cite></ref>
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
 
** [http://www.africanconservancy.org/member/furniture/stools2.html Picture of Golden Stool]
** [http://www.hamillgallery.com/EXHIBITIONS/AfricanStools.html African Stools. Hamill Gallery of Tribal Art, catalogue of exhibition, March 1-May 26, 2001.]