Egbert wa Ripon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
==Maisha==
Ecgberht alikuwa [[sharifu]] wa [[Wagermanik|Kigermanik]] wa [[Northumbria]].<ref name=mayr>[http://www.oxforddnb.com/view/article/8579, Mayr-Harting, Henry. "Ecgberht (639–729)", ''Oxford Dictionary of National Biography'', 2004, accessed 24 Jan 2014]</ref>
[[Mwaka]] [[664]], akiwa [[kijana]], alikwenda kusoma katika [[monasteri]] ya [[Ireland]].<ref>Bede, [[Historia ecclesiastica gentis Anglorum]] 3.4</ref> Huko alimfahamu [[Chad wa Mercia]].<ref>Bede, [[Historia ecclesiastica gentis Anglorum]] 4.3</ref>
 
Alipopatwa na [[tauni]] akiwa na [[umri]] wa miaka 25 aliweka [[nadhiri]] ya kufanya daima [[toba]] nje ya nchi yake<ref name=mayr/>. Kisha kupona alitimiza alichoahidi hadi alipokufaalipofariki akiwa na miaka 90.<ref name=costambeys>[http://www.oxforddnb.com/view/article/29576, Costambeys, Marios. "Willibrord &#91;St Willibrord&#93; (657/8–739)", ''Oxford Dictionary of National Biography'', Oxford University Press, 2004; online edn, Jan 2011, accessed 24 Jan 2014]</ref>
 
Pia aliandaa wamonaki wengi kwenda [[Umisionari|kuinjilisha]] [[Frisia]] ([[Uholanzi]]) ila mwenyewe alizuiwa.<ref>Bede, [[Historia ecclesiastica gentis Anglorum]] 5.9, 5.10</ref> <ref name=costambeys/>
Mstari 17:
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
 
[[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] wanaadhimisha [[sikukuu]] yake tarehe ya [[kifo]] chake, 24 Aprili. <ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref><ref>[http://www.newadvent.org/cathen/05325a.htm Phillips, George. "St. Egbert." The Catholic Encyclopedia. Vol. 5. New York: Robert Appleton Company, 1909. 24 Jan. 2014]</ref>
==Tazama pia==
Mstari 28:
{{Reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Egbert wa Ripon}}
[[Category:Waliozaliwa 639]]