Maria Eufrasia Pelletier : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|200px|Mt. Maria Eufrasia. '''Maria Eufrasia Pelletier''' (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Jula...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 10:01, 22 Aprili 2021
Maria Eufrasia Pelletier (Noirmoutier-en-l'Île, Ufaransa, 31 Julai 1796 – Angers, 24 Aprili 1868) ni sista maarufu kwa kuanzisha shirika la kitawa la Bibi Yetu wa Upendo wa Mchungaji Mwema[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki: Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 30 Aprili 1933, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 2 Mei 1940[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Congregation of Our Lady of Charity of the Good Shepherd
- Contemplative Sisters of the Good Shepherd
- Good Shepherd Sisters founder statue in St. Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |