Maria Elizabeti Hesselblad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Mt. Maria Elizabeti [[ujana|ujanani.]] '''Maria Elizabeti Hesselblad''' (Fåglavik, Uswidi, 4 Juni 1...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:44, 22 Aprili 2021

Maria Elizabeti Hesselblad (Fåglavik, Uswidi, 4 Juni 1870Roma, Italia, 24 Aprili 1957) alikuwa Mkristo wa Kilutheri aliyejiunga na Kanisa Katoliki huko Marekani, halafu akawa mwanzilishi mpya wa shirika la Mwokozi Mtakatifu (Wabrigita).

Mt. Maria Elizabeti ujanani.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 9 Aprili 2000, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 5 Juni 2016, halafu msimamizi mmojawapo wa Ulaya na Papa Yohane Paulo II mwaka 1999.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[1].

  1. Martyrologium Romanum