Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 71:
Hapa lazima kuwa waangalifu maana katika Wikipedia hatutaki matatizo ya kisheria. Tunaheshimu hatimiliki za picha!
 
====Kuomba hatimilikihakimiliki====
Ukimjua mwenye hatimilikihakimiliki ya picha (mpiga picha, mchoraji wa taswira/katuni) unaweza kuombakumuomba kibali chakecha kwamba kazi yake ipelekwe kwenye laiseni huria. Soma mifano ya barua uanyowezaunayoweza kuandika, na barua / email itakayohitajika kutoka mwenye hakihakimiliki hapa: [[:en:Wikipedia:Example_requests_for_permission]].
 
====Kutoka google-search?====
'''Hapana!''' Kwa kawaida picha zinazopatikana kwa njia ya Google hazifai wa sababu hatimilikihakimiliki si huru. HaikubalikiHazikubaliki kwenye Wikipedia. Isipokuwa kama picha kwa hakika ina umri mkubwa na wote wenye hakihakimiliki zaya picha hiyo wameshakufa tangu miaka 70. Tazama chini!
 
====Mali ya umma?====