Mjasiriamali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: Reverted
Mstari 1:
[[picha:Karachi_-_Pakistan-market.jpg|thumbnail|right|200pax|Mjasiriamali nchini Pakistani]]
'''Mjasiriamali''' ni [[mtu]] ambaye anaandaa, anapanga au anasimamia biashara fulani, akikubali kukabiliana na [[hatari]] za [[Biashara|kibiashara]] zinazoweza kujitokeza ilhali analenga kupata [[faida]].<ref>[http://www.businessdictionary.com/definition/entrepreneurship.html#ixzz3xv9ci0nt entrepreneurship.html entrepreneurship] {{Wayback|url=http://www.businessdictionary.com/definition/entrepreneurship.html#ixzz3xv9ci0nt |date=20181116084818 }}, Tovuti ya Businessdictionary.com, iliangaliwa Agosti 2020</ref>
 
Mjasiriamali mara nyingi huonekana kama mbunifu, chanzo cha mawazo anzilishi, mwenye kuvumbua [[bidhaa]] au [[huduma]] mpya na biashara. Pia mjasiriamali ni mtu anayeweza kusaidia sana maendeleo ya kiuchumi nchini mwake, ndiyo maana nchi tajiri zaidi duniani zina wajasiriamali wengi na mashuhuri sana, yaani, ujasiriamali unaonekana kama lazima kwa uboreshaji wa hali ya kiuchumi katika nchi yoyote. <ref>{{Cite web|title=What You Should Know About Entrepreneurs|url=https://www.investopedia.com/terms/e/entrepreneur.asp|work=Investopedia|accessdate=2020-02-13|language=en|author=Adam Hayes}}</ref>