Mjasiriamali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tag: Reverted |
No edit summary Tag: Manual revert |
||
Mstari 1:
[[picha:Karachi_-_Pakistan-market.jpg|thumbnail|right|200pax|Mjasiriamali nchini Pakistani]]
'''Mjasiriamali''' ni [[mtu]] ambaye anaandaa, anapanga au anasimamia biashara fulani, akikubali kukabiliana na
Mjasiriamali mara nyingi huonekana kama mbunifu, chanzo cha mawazo anzilishi, mwenye kuvumbua [[bidhaa]] au [[huduma]] mpya na biashara. Pia mjasiriamali ni mtu anayeweza kusaidia sana maendeleo ya kiuchumi nchini mwake, ndiyo maana nchi tajiri zaidi duniani zina wajasiriamali wengi na mashuhuri sana, yaani, ujasiriamali unaonekana kama lazima kwa uboreshaji wa hali ya kiuchumi katika nchi yoyote. <ref>{{Cite web|title=What You Should Know About Entrepreneurs|url=https://www.investopedia.com/terms/e/entrepreneur.asp|work=Investopedia|accessdate=2020-02-13|language=en|author=Adam Hayes}}</ref>
|