Siku ya DNA : Tofauti kati ya masahihisho

Siku inayoathimishwa tarehe 25 Aprili
Content deleted Content added
Ukurasa was iku ya DNA umeanzishwa, tafsiri kutoka ukurasa DNA Day
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:24, 23 Aprili 2021

Siku ya Kitaifa ya DNA husherehekewa nchini Marekani tarehe Aprili 25, kila mwaka. Inaadhimisha siku ya mwaka 1953, ambapo James Watson, Francis Crick, Maurice Wilkins, Rosalind Franklin na wenzake walichapisha makala katika jarida la Nature, juu ya muundo wa DNA. [1][2][3]Vilevile, mwanzoni mwa Aprili 2003 ilitangazwa kuwa mradi wa seti kamili juu ya maumbile ya binadamu (genome) ulikuwa karibu sana kukamilika, na "mapungufu madogo madogo yaliyosalia yalionekana kuhitaji gharama kubwa kuyakamilisha.”[4][5]

Nchini Marekani, siku ya DNA iliadhimishwa kwa mara ya kwanza Aprili 25, 2003, kwa kutangazwa na Seneti[6] na Baraza la wawakilishi.[7] Walakini, walitangaza maadhimisho hayo kwa mwaka huo tu na sio kila mwaka. Tangu mwaka 2003 maadhimisho ya siku ya DNA yamekua yakiandaliwa na Taasisi ya kitaifa ya utafiti wa Jinomu ya Binadamu(NHGRI) kuanzia Aprili 23, 2010, April 25, 2011 [8] na Aprili 20, 2012.[9] Tokea hapo tarehe 25 Aprili ilitangazwa rasmi kuwa “Siku ya kimataifa ya DNA”[10][11] na “Siku ya DNA Duniani”[12] [13][14] ambayo imekua ikiadhimishwa na vikundi mbalimbali . Makampuni ya upimaji wa DNA na wachapishaji wa majarida ya elimu ya vinasaba huendesha minada ya kila mwaka karibu na maadhimisho ya siku ya DNA wakihamasisha umma na kukuza uelewa kuhusiana na huduma zao. [15]

Tanbihi

  1. Watson, James Dewey; Crick, Francis Harry Compton (1953-04-25). "Molecular structure of nucleic acids; a structure for deoxyribose nucleic acid". Nature 171 (4356): 737–738. Bibcode:1953Natur.171..737W. PMID 13054692. doi:10.1038/171737a0.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)
  2. Franklin, Rosalind Elsie; Gosling, Raymond (1953-04-25). "Molecular configuration in sodium thymonucleate". Nature 171 (4356): 740–741. Bibcode:1953Natur.171..740F. PMID 13054694. doi:10.1038/171740a0.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)
  3. Wilkins, Maurice Hugh Frederick; Stokes, Alexander Rawson; Wilson, Herbert R. (1953-04-25). "Molecular structure of deoxypentose nucleic acids". Nature 171 (4356): 738–740. Bibcode:1953Natur.171..738W. PMID 13054693. doi:10.1038/171738a0.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)
  4. Noble, Ivan. "Human genome finally complete", BBC News, 2003-04-14. 
  5. International Human Genome Sequencing Consortium (2004-10-21). "Finishing the euchromatic sequence of the human genome". Nature 431 (7011): 931–945. Bibcode:2004Natur.431..931H. PMID 15496913. doi:10.1038/nature03001.  Unknown parameter |doi-access= ignored (help)
  6. "A concurrent resolution designating April 2003 as "Human Genome Month" and April 25 as "DNA Day".". United States Government Printing Office. 2003-02-27. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  7. "Recognizing the sequencing of the human genome as one of the most significant scientific accomplishments of the past one hundred years and expressing support for the goals and ideals of Human Genome Month and DNA Day.". Library of Congress. Iliwekwa mnamo 2011-04-16. 
  8. "Join us April 15 for National DNA Day!". National Human Genome Research Institute. 2011-04-11. Iliwekwa mnamo 2011-04-16. 
  9. "DNA Day 12". National Human Genome Research Institute. 2011-11-28. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-27. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  10. "International DNA day to be celebrated". Biotechnology Society of Nepal. 2009-06-15. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-15. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  11. Finley, Erica (2011-04-21). "Celebrate International DNA Day in Huntsville". Huntsville, Alabama. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  12. "Annual International DNA Day at the University". Vilnius University. 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  13. "International Consortium Publishes Sequence, Analysis Of The Human Genome". World High Technology Society. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-21. Iliwekwa mnamo 2012-02-09.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  14. "Genomes, Environments and Traits Conference". GET Conference. Iliwekwa mnamo 2012-02-09. 
  15. MacEntee, Thomas (2019-04-23). "Best Promo Codes, Coupons and Savings on DNA during National DNA Day Sale". National DNA Day (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-02-25.