Msaada:Interwiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Interwiki.png|thumb|300px|Bofya hapa kuona picha vizuri zaidi]]
'''Interwiki''' ni orodha ya viungo vya mada fulani na makala za kufanana katika wikipedia za lugha mbalimbalinyingine.
 
Katika ukurasa unaosoma sasa hivi orodha ipo upande wa kushoto nje ya makala chini ya "Lugha zingine". Hapa utaona Deutsch, English, فارسی , Français na kadhalika. Zote ni rangi ya buluu maana ni viungo kwenda kurasa za "Mwongozo wa wikipedia" (Help:Interlanguage links) kwa lugha hizi.