Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 51:
==Kigezo cha Vyanzo==
Siku hizi unaweka mara kadhaa kigezo hicho. Badala ya kuridhika kuweka vigezo vinavyoagiza kazi fulani, tunashauriwa kufanya wenyewe kazi hiyo, yaani tuboreshe makala, si kuilaumu tu. Pia zingatia kwamba makala nyingi za zamani hazina vyanzo kwa sababu ya kutovisisitiza mwanzoni mwa Wiki yetu. Hatimaye makala nyingine haziwezi kuwa ndefu wala kuwa na vyanzo vingi kutokana na mada yenyewe, k.mf. [[Pagieli]]. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 13:38, 21 Aprili 2021 (UTC)
 
:Habari Riccardo!
Ndiyo niliweka kigezo hicho kwenye makala kadhaa ambazo hazikua na chanzo hata kimoja. Mara nyingi nikipitia mabadiliko ya hivi karibuni hua sina nafasi ya kufanyia marekebisho makala zote zenye walakini, hivyo kama kitu kinachokosena na chanzo, naweka kigezo kama hicho.
 
Naelewa kwamba kuna makala nyingine ni fupi na haziwezi kurefuka, ila ni sawa kua na makala isiyo na chanzo hata kimoja? Mfano makala ya Pagieli, biblia haiwezi kua chanzo?
Asante '''[[Mtumiaji:Aneth David (SLU)|Aneth David (SLU)]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Aneth David (SLU)#top|majadiliano]])''' 15:22, 23 Aprili 2021 (UTC)