Piniani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Piniani''' (Roma, Italia, 381 hivi - Yerusalemu, Israeli, 31 Desemba 420 hivi) alikuwa Mkristo wa mmojawapo kati ya ukoo|ko...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 1:
'''Piniani''' ([[Roma]], [[Italia]], [[381]] hivi - [[Yerusalemu]], [[Israeli]], [[31 Desemba]] [[420]] hivi) alikuwa [[Mkristo]] wa mmojawapo kati ya [[ukoo|koo]] maarufu zaidi za [[mji]] huo.
 
[[Ndoa|Alimuoa]] mapema [[Melania Kijana]] akazaa [[watoto]] wawili na walipofiwa nao, walikubaliana kuishi kama [[watawa]] na baada ya kurithi [[mali]] ya [[wazazi]] waliofariki, waliitoa kwa [[Kanisa]] na kwa [[maskini]]<ref>{{cite journal|url=https://www.academia.edu/7482248/The_Poverty_of_Melania_the_Younger_and_Pinianus|title=The Poverty of Melania the Younger and Pinianus|author=Dunn, Geoffrey D.|publisher=Istituto Patristico Augustinianum|journal=Augustinianum|volume=54}}</ref> wakaelekea [[Sisilia]] ([[408]]), halafu [[Afrika]] ([[410]]) walipofunga [[urafiki]] na [[Augustino wa Hippo]] na kuanzisha [[monasteri]] dabo<ref>{{cite web|url=https://monasticmatrix.osu.edu/vitae/melania-younger|title=Melania the Younger – Monastic Matrix|first=Mitchell R.K. Shelton, Harvey Goldberg|last=Center|website=monasticmatrix.osu.edu|accessdate=2020-12-24|archivedate=2020-09-21|archiveurl=https://web.archive.org/web/20200921101337/https://monasticmatrix.osu.edu/vitae/melania-younger}}</ref>. [[Mwaka]] [[417]] walihamia [[Nchi Takatifu]] kwenye [[Mlima wa Mizeituni]] walipoanzisha tena monasteri.
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]] pamoja na mkewe.