Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 50:
 
:Nahsukuru sana! Nimepata msaada kwa wanafunzi wangu ambao pia wanajifunza kuhariri Wikipedia. They made the initial translation then tukaupload pamoja nikamalizia na marekebisho ya hapa na pale kama vyanzo vya ndani. Ila pia nina swali, kwenye makala ya kiingereza ya DNA day kuna info box ya holiday, ambayo nikiweka kwenye makala ya kiswahili haitokei. Je, kuna infobox ya sikukuu kwenye wikipedia ya Kiswahili?
 
::Mimi sijawahi kuiona, labda kwa sababu situmii infobox!!! Kwangu ni ngumu mno... Jaribu kumshirikisha Muddy au Kipala, wataalamu wetu. Amani kwa wote! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 05:59, 24 Aprili 2021 (UTC)
 
==Kigezo cha Vyanzo==