Bahari ya Kusini ya China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya Carlassimo (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
Tag: Rollback
Mstari 3:
Imepanuka kati ya Taiwan upande wa kaskazini na [[Singapur]] upande wa kusini. Upande wa mashariki hupakanwa na visiwa vya [[Indonesia]] na [[Ufilipino]], upande wa magharibi na [[Asia]] bara.
 
Nchi zinazopakana na Bahari ya Kusini ya China ni: [[China]], [[Macau]], [[Hong Kong]], [[Taiwan]], [[Ufilipino]], [[Malaysia]], [[Brunei]], [[Indonesia]], [[Singapur]], [[Uthai]], [[Kambodia]] na [[Vietnam]].
 
Mito mikubwa inayomwaga maji yao baharini ni pamoja na [[Mto Lulu]], [[Min (mto)|Min]], [[Jiulong (mto)|Jiulong]], [[Mto Mwekundu]], [[Mekong (mto)|Mekong]], [[Pahang (mto)|Pahang]] na [[Pasig (mto)|Pasig]].