Nyandu Tozzy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hamidu Salim Chambuso''' (amezaliwa 2 Julai 1987) ni jina la kutaja msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Tanzania, anafahamika zaidi kwa jin...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:07, 27 Aprili 2021

Hamidu Salim Chambuso (amezaliwa 2 Julai 1987) ni jina la kutaja msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Tanzania, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Dogo Hamidu na baadaye Nyandu Tozzy.

Nyandu alianza muziki mwishoni mwa miaka ya 1990, amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa Tanzania ikiwa ni pamoja na Profesa Jay, Soggy Doggy Hunter, Unique Dadaz, Taff B., Young Dee mara mbili katika "Nimekasirika]] (2012) na "Double Double" (2017), Dudu Baya, Chin Bees, Mr. Blue akiwa kama mwanachama mwenza katika kundi la B.O.B Clack.

Katika kazi yake ya muziki, amewahi kuwa sehemu ya kundi la muziki la "New Jack Family" kabla ya hapo alikuwa na akina Slim ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la CBM Crew. Baadaye alisimama muziki lakini alivyorudi tena, wakaanzisha B.O.B Micharazo akiwa na Mr. Blue, Becka Title, Blood Gaza, Bobby MC, Cotton, Uswege, na wasanii wengine.


Marejeo

Viungo vya Nje