Mathias E. Mnyampala : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Maelezo ya picha yalikua katika lugha ya Kingereza |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Mathias E. Mnyampala.jpg|thumb|Mathias E. Mnyampala.]]
Kufuatana na maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni ''Jabali Lililosahaulika''. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya [[Tanzania]] na ng'ambo, hasa [[Ufaransa]], haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na [[Historia]] ya [[Wagogo]] wa [[Tanganyika]]. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.
== Vitabu vichache vya Mathias E. Mnyampala ==
Line 21 ⟶ 22:
* '''(fr)''' Ukurasa wa Mathias E. Mnyampala katika wikipedia.fr [http://fr.wikipedia.org/wiki/Mathias_E._Mnyampala Mathias E. Mnyampala]
==Viungo vya nje==
{{Lango|Tanzania|historia}}
{{Commons}}
{{mbegu-mwandishi}}
[[Jamii:Tanzania]]▼
[[Jamii:Waliozaliwa 1917]]
[[Jamii:Waliofariki 1969]]
[[Jamii:Waandishi wa Tanzania]]
▲[[Jamii:Washairi wa Tanzania]]
|