Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Reverted Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 16:
}}
 
'''Naseeb Abdul Juma Issack''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama [['''Diamond Platnumz''']]
# ; majina mengine ya kisanii ni Chibu na Simba; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Flava]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].
Line 24 ⟶ 25:
Inaaminika kuwa ni msanii anayelipwa kutumbuiza kwenye tamasha kutoka nchini Tanzania kwa bei ya juu kabisa na kwa makampuni ya [[simu ya mkononi]] mwaka [[2013]], pamoja na kuwa kati ya wasanii wanaopata kipato cha juu zaidi katika sekta ya muziki Afrika Mashariki.
 
Aidha msaniim[[sanii]] huyu amekuwa hasimu mkubwa wa kimuziki na msanii [[Alikiba]] ijapokuwa wote wawili wamekuwa wakikataa uhasama baina yao wakihamishia tuhuma hizo kwa mashabiki.
 
==Maisha==