Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
Nasibu Juma alishinda tuzo nyingi katika Channel O na Hip-hop Music Awards. Pia alifanya kazi katika Mkutano Mkuu wa Ndugu Afrika Mei [[2012]].
 
Inaaminika kuwa ni msanii anayelipwa kutumbuiza kwenye tamasha kutoka nchini Tanzania kwa bei ya juu kabisa na kwa makampuni ya [[simu ya mkononi]] mwaka [[2013]], pamoja na kuwa kati ya wasanii wanaopata kipato cha juu zaidi katika sekta ya muziki Afrika Mashariki.
 
Aidha msanii huyu amekuwa hasimu mkubwa wa kimuziki na msanii [[Alikiba]] ijapokuwa wote wawili wamekuwa wakikataa uhasama baina yao wakihamishia tuhuma hizo kwa mashabiki.