Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
}}
 
'''Naseeb Abdul Juma Issack''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba ama dangote Dangote; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Fleva]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].
Mstari 41:
Orodha hii haijakamilika; unaweza kusaidia kwa kuipanua.
 
Tarehe 3 Mei 2014, Diamond Platnumz aliweka rekodi mpya kwenye Tuzo za Muziki Tanzania kwa kushinda tuzo 7, ikiwa ni pamoja na Mwandishi Bora wa Kiume, Msanii Bora wa Kiume, Mwandishi wa Maneno Bora na Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka. Rekodi ya awali iliwekwa na 20%, msanii wa kurekodi ambaye alitembea mbali na tuzo 5 katika Tuzo za Muziki Tanzania . Kwa kufikia mafanikio, Nasibu Juma aliweka rekodi ya kushinda tuzo 3 katika tuzo za muziki za Tanzania.
 
== WatsUp TV Africa Video za Tuzo za Muziki ==
Mstari 60:
 
== Diskografia ==
Diamond ametoa albamu rasmi tarehe 14 Machi 2018., Japojapo mnamo mwaka 2012 alitokaalitoa albamu isiyo rasmi ya "Nitarejea".
*''[[A Boy From Tandale]]''
 
==Msikiti wa Kigoma==
Kwenye Disemba 2019 Juma alizindua rasmi [[msikiti]] mjini Kigoma aliyogharamia na kuikabidhi kwa viongozi Waislamu wa mji huo<ref>[https://theweekpost.com/diamond-platinumz-launched-his-mosque-in-tanzania/ Diamond Platinumz launches his mosque in Tanzania] {{Wayback|url=https://theweekpost.com/diamond-platinumz-launched-his-mosque-in-tanzania/ |date=20200218073652 }}, tovuti ya theweekpost.com, iliangaliwa Februari 2020.</ref>. Kiongozi Mwislamu [[Ponda Issa Ponda]] alisema hakubali msikiti kwa sababu asili ya pesa za ujenzi ni haramu, akikosoa viongozi wenzake wa KogomaKigoma waliokubali zawadi ya mwimbaji.<ref>[https://www.thecitizen.co.tz/news/entertainment/Sheikh-rejects-Diamond-s-Kigoma-mosque-calling-it--haram-/1840560-5414408-dsxths/index.html Sheikh rejects Diamond’s Kigoma mosque calling it ‘haram’], gazeti The Citizen, tar 11-01-2020, iliangaliwa Februri 2020</ref>
 
{{DEFAULTSORT:Platnumz, Diamond}}