John Magufuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Tags: Reverted Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 42:
Ana [[Shahada]] ya [[Uzamivu]] ya [[Kemia]] ([[2006]] – [[2009]]) kutoka [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]. Pia miaka [[1991]] – [[1994]] alisomea Shahada ya [[Uzamili]] (Kemia) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, na baadaye Chuo Kikuu cha [[Salford]] nchini [[Uingereza]] na miaka [[1985]] – [[1988]], alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na [[Hisabati]]. Kabla ya hapo Magufuli alisoma [[diploma]] katika Chuo cha Mkwawa akichukua masomo ya Kemia na Hisabati, hiyo ilikuwa miaka [[1981]] – [[1982]].
 
Upande wa [[sekondari]], Magufuli alipata elimu ya juu ya sekondari katika [[Shule ya Sekondari]] Mkwawa huko [[Iringa]] kipindi cha miaka [[1979]] – 1981. Kabla ya hapo miaka [[1977]] – [[1978]], alisoma elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari Lake, [[Mwanza]] na miaka [[1975]] – 1977, alisoma [[Shule ya Msingi]] [[Katoke]], [[Biharamulo]] [[Mkoa wa Kagera|mkoani Kagera]]. Hapo kati alikwenda [[Jeshi la Kujenga Taifa]] huko [[Arusha]] kwa mujibu wa [[sheria]].
 
Ameandika [[vitabu]] na ma[[jarida]] mbalimbali.