Malai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Cream"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:36, 8 Mei 2021

Malai, pia krimu, ni mafuta yanayopatikana kiasili katika maziwa ya wanyama. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu.

Cream iliyopigwa
Cream iliyofungwa

Utandu huo hutolewa na kukusanywa. Malai hutumiwa kutengeneza samli, siagi na jibini. au pia katika upishi na kutengeneza vyakula mbalimbali kama aisikrimu.