Malai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Cream"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Crème_ChantillyMilk heavy cream B.jpg|thumb|Malai jinsi inavyokaa juu ya Creammaziwa iliyopigwayaliyokamuliwa]]
[[Picha:Clotted_creamCrème_Chantilly.jpg|thumb|Krimu Cream iliyofungwailiyopigwa]]
'''Malai''', pia '''krimu''' ([[ing.]] ''cream''), ni [[Mafuta (chakula)|mafuta]] yanayopatikana kiasili katika [[maziwa]] ya wanyama. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu.
 
Utandu huo hutolewa na kukusanywa. Malai hutumiwa kutengeneza [[samli]], [[siagi]] na [[jibini]]. au pia katika upishi na kutengeneza vyakula mbalimbali kama [[aisikrimu]].