Malai : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:Milk heavy cream B.jpg|thumb|Malai jinsi inavyokaa juu ya maziwa yaliyokamuliwa]]
[[Picha:Crème_Chantilly.jpg|thumb|Krimu iliyopigwa]]
'''Malai'''
▲'''Malai''', pia '''krimu''' ([[ing.]] ''cream''), ni [[Mafuta (chakula)|mafuta]] yanayopatikana kiasili katika [[maziwa]] ya wanyama. Baada ya kukamua maziwa, malai hukusanyika kwenye uso wa maziwa kama utandu.
Utandu huo hutolewa na kukusanywa. Malai hutumiwa kutengeneza [[samli]], [[siagi]] na [[jibini]]. au pia katika upishi na kutengeneza vyakula mbalimbali kama [[aisikrimu]]. ▼
▲
[[Jamii:Vyakula vya asili Tanzania]]
[[Jamii:
|