Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
fix lint error
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Screws.jpg|thumb|220px|Parafujo mbalimbali]]
[[Image:Wood screw.svg|thumb|Skurubu ya ubao]]
[[Image:Schraubverbindung.jpg|thumb|220px|SkurubuBolti na nati]]
 
'''Parafujo''' (kutoka [[Kireno]] ''parafuso''; pia: '''skurubu'''/'''skrubu''' kutoka [[Kiing.]] ''screw''; pia '''bolti''' kutoka Kiing. ''bolt'' kama inatumiwa pamoja na [[nati]]) ni kifaa kinachofanana na [[msumari]] kinachotumika kuunganisha vipande viwili. Tofauti na msumari nondo yake ina [[hesi]] kando lake; upande wa juu kuna kofia inayotumiwa kuikaza au kuifungua.