Tofauti kati ya marekesbisho "Meli"

8 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
d (Protected "Meli" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
Siku hizi meli huwa na bodi ya [[chuma]] ikisogezwa kwa nguvu ya [[injini]] inayochoma [[diseli]].
 
Hadi [[karne ya 19]] meli zilijengwa kwa kutumia [[ubao|mbao]] zikasongezwa hasa kwa [[nguvu]] ya [[upepo]] kwa kutumia [[tanga]]. [[Jahazi]] ziko hadi leo.
 
Meli hutumiwa hasa kwa kubeba mizigo na [[abiria]]. Kuna pia meli za [[jeshi|kijeshi]] zinazoitwa [[manowari]].
Kuna njia mbalimbali za kutofautisha ukubwa wa meli: njia ya kawaida imekuwa [[tani GT]] inayotaja mjao wa chombo.
 
Mkuu na [[kiongozi]] kwenye meli anaitwa [[nahodha]]. Watu wanaofanya kazi kwenye meli kwa jumla ni [[baharia|mabaharia]].
 
== Muundo wa meli ==