Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 3:
[[Image:Schraubverbindung.jpg|thumb|220px|Bolti na nati]]
 
'''Parafujo''' (kutoka [[Kireno]] ''parafuso''; pia: '''skurubu'''/'''skrubu''' kutoka [[Kiing.]] ''screw''; pia '''bolti''' kutoka Kiing. ''bolt'' kama inatumiwa pamoja na [[nati]]) ni kifaa kinachofanana na [[msumari]] kinachotumika kuunganisha vipande viwili. Tofauti na msumari [[nondo]] yake ina [[hesi]] kando lake; upande wa juu kuna kofia inayotumiwa kuikaza au kuifungua.
 
Kama vipande viwili vimeunganishwa kwa kutumia skurubu ni rahisi kuzifungua tena.