Gereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Clinton correctional facility, Dannemora, NY, 2007.jpg|250px|thumb|Gereza kwenye [[jimbo la New York]], Marekani.]]
'''Gereza''' (pia: '''jela''', kwakutoka [[Kiingereza]]: ''prison, jail'' au ''prison'') ni mahali ambako [[watu]] wanalazimishwa kukaa wakishikwa kinyume cha matakwa yao.
 
Kwa kawaida hali ya kufungwa ndani ya gereza ni [[adhabu]] iliyotolewa na [[mahakama]] kwa [[mtu]] aliyevunja [[sheria]]. Mara nyingi watu hufungwa ndani pia wakishtakiwa tu kuvunja sheria wakisubiri [[kesi]] zao zisikiwe mahakamani.