Angela Black : Tofauti kati ya masahihisho

Mwandishi wa Habari wa Marekani
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Angela Black''' ni mandishi wa habari za runinga Marekani akijulikana kwa kazi yake ya msingi katika KABC-TV Los Angeles, California na kwa kuwa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:23, 15 Mei 2021

Angela Black ni mandishi wa habari za runinga Marekani akijulikana kwa kazi yake ya msingi katika KABC-TV Los Angeles, California na kwa kuwa mmoja ya wamareani mweusi watoa habari katika historia ya habari za runingani Los Ageles.

Wasifu

Alizaliwa Jacksonville, Florida akiwa mtoto wa meja Bennie L. Canty na mwalimu Bess Canty, Black aliishi utoto wake katika kambi za jeshi za Sullivan Whittier, Alaska|Whittier, Alaska na Fort Eustis Virginia kabla ya kutulia na wazazi wake na ndugu huko Jacksonville. Baada ya kuhitimu katika shule ya katoliki ya Bishop Kinney , alisafiri hadi Nashville, Tennessee|Nashville katika chuo kikuu cha to Vanderbilt , hatimae kuhamia na kuhitimu katika chuo kikuu cha Jacksonville University akiwa na shahada ya Sanaa katika kiingereza.

Black anafahamika kwa miaka 12 ya utumishi katika kituo cha runinga cha KABC-TV. Kazi yake ya msingi ikiwa ni kuripoti matukio kutokea yanapojiri pamoja na kuwa mwandishi msaidizi siku za wikiendi akisaidiana na Jerry Dunphy usiku wa majuma , alikuwa mwanachama wa timu ya Eyewitness News mwishoni mwa miaka ya 1970 na 1980]].[1]

Marejeo

  1. writers, Times staff. "Journalist Files Lawsuit Against KCBS", Los Angeles Times, 2002-06-10. (en-US) 

Bibliografia