Angela Black : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Alizaliwa Jacksonville, Florida akiwa mtoto wa meja Bennie L. Canty na mwalimu Bess Canty, Black aliishi utoto wake katika kambi za jeshi za Sullivan Whittier, Alaska|Whittier, Alaska na Fort Eustis Virginia kabla ya kutulia na wazazi wake na ndugu huko Jacksonville. Baada ya kuhitimu katika shule ya katoliki ya Bishop Kinney , alisafiri hadi Nashville, Tennessee|Nashville katika chuo kikuu cha to Vanderbilt , hatimae kuhamia na kuhitimu katika chuo kikuu cha Jacksonville University akiwa na shahada ya Sanaa katika kiingereza.
 
Black anafahamika kwa miaka 12 ya utumishi katika kituo cha runinga cha KABC-TV. Kazi yake ya msingi ikiwa ni kuripoti matukio kutokea yanapojiri pamoja na kuwa mwandishi msaidizi siku za wikiendi akisaidiana na Jerry Dunphy usiku wa majuma , alikuwa mwanachama wa timu ya ''Eyewitness News'' mwishoni mwa miaka ya 1970 na [[1980]].<ref>{{Cite news|url=https://articles.latimes.com/2002/jun/10/entertainment/et-3know10|title=Journalist Files Lawsuit Against KCBS|last=writers|first=Times staff|date=2002-06-10|work=Los Angeles Times|access-date=2017-08-31|language=en-US|issn=0458-3035}}</ref>
 
Uzoefu wake ni pamoja na kuandaa kitaifa habari ya "Evening of the Stars" United Negro College Fund, kutoa filamu elezi juu ya watu weusi [[Hollywood]], kujifunza kuwa zima moto na zima moto na idara ya zima moto ya Los Angeles.
 
Black anabaki kua mwandishi mkongwe akiwa amefanya kazi katika vituo vya runinga vya KABC-TV na KCBS-TV vya Los Angeles, California, na kampuni kubwa kama HLN (TV network)|habari kuu, PBS, na Turner Entertainment.
 
==Marejeo==