Siku ya Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 3:
'''Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela''' (au '''Siku ya Mandela''') ni [[siku ya kimataifa]] kwa heshima ya [[Nelson Mandela]], [[sikukuu]] ambayo husherehekewa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[18 Julai]], siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kutambua mchango wake kwa jamii za [[Afrika ya Kusini]], [[Afrika]] kwa ujumla na ulimwengu wote.<ref name="UN18">{{cite web |url= https://www.un.org/en/events/mandeladay/ |title=Nelson Mandela International Day, July 18, For Freedom, Justice and Democracy |first= |last= |work=un.org |year=|accessdate=11 July 2011}}</ref>. Siku hiyo iliteuliwa rasmi na [[Umoja wa Mataifa]] mnamo Novemba 2009,<ref>[http://www.worldlii.org/int/other/UNGARsn/2009/64.pdf "Resolution adopted by the General Assembly"], General Assembly, United Nations, 1 December 2009.</ref> na kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa tarehe 18 Julai 2010, lakini, makundi mengine yalianza kusherehekea siku hiyo tarehe 18 Julai 2009.
 
Tarehe 27 Aprili 2009, [[46664 (Tamasha)|46664]] na [[Nelson Mandela Foundation]] ilizialika [[Jumuia za kimataifa]] kuungana kwa ajili ya [[sherehe]] maalumu ya siku ya Mandela.<ref>{{Cite web|url=https://www.nelsonmandela.org/news/entry/the-nelson-mandela-foundation-and-46664-call-for-the-establishment-of-a-glo|title=The Nelson Mandela Foundation and 46664 call for the establishment of a global ‘Mandela Day’ – Nelson Mandela Foundation|website=www.nelsonmandela.org|language=en-us|access-date=2018-07-19}}</ref> Siku hiyo haimaanishi ni siku ya mapumziko, lakini humaanisha ni siku ya heshima kwa Mandela, rais na mpigania uhuru wa Afrika ya Kusini. Thamani yake ni kujitolea kwa ajili ya [[huduma za kijamii]].<ref name=UN18/><ref>{{cite news |url=https://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 |title=46664 and the Nelson Mandela Foundation Call for Establishment of Global 'Mandela... |publisher=Reuters |date= 27 April 2009 |accessdate=31 July 2010 |archivedate=2013-02-01 |archiveurl=https://archive.today/20130201123555/http://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 }}</ref>
 
Siku ya Mandela ni kwa ajili ya kuiambia dunia ichukue hatua za kimabadiliko na kusherehekea mawazo ya kuibadili jamii katika uwezo wa kuleta nguvu ya mabadiliko.