Tofauti kati ya marekesbisho "Lava (volkeno)"

4 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
(Add 1 book for verifiability (20210217)) #IABot (v2.0.8) (GreenC bot)
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Lava''' (kutoka [[jina]] la [[Kiingereza]] lenye asili ya [[Kilatini]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia "'''zaha"'''<ref>Kamusi za [[TATAKI]] na [[BAKITA]] hutaja zaha kama visawe vya lava; kamusi ya [[KAST]] inataja zaha kama visawe vya volkeno yenyewe.</ref>) ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na [[joto]] kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama ujiuji au nyepesi kama majimaji.<ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url =https://archive.org/details/holtsciencetechn00na_0| doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .
 
Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa [[mlipuko wa volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika [[ufa]] kwenye [[ganda la dunia]].