Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Dodoma,_Tanzania..jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[picha:Dodoma,_Tanzania..jpg|thumbnail|right|200px|Dodoma mji mkuu wa Tanzania]]
[[Picha:Nairobi night skyline at dusk .jpg|thumbnail|200px|[[Nairobi]] ni mji mkuu wa Kenya]]
'''Mji mkuu''' kwa kawaida ni [[mji]] wenye [[makao makuu]] ya [[serikali]] ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine nchini. Huo ni sehemu yenye [[maendeleo]] makubwa sana katika nchi yoyote: ina kila [[huduma]] muhimu na [[miundombinu]] iliyo bora. Mfano: nchini [[Tanzania]] mji mkubwa ni [[Dar es Salaam]], ingawa makao makuu ni [[Dodoma]].