Senati (Marekani) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q66096 (translate me) |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 2:
'''Senati ya Maungano ya Madola ya Amerika''' ''(kutoka [[Kilatini]] "senatus" - baraza la wazee)'' ni sehemu ya [[bunge]] la [[Marekani]] pamoja na [[Nyumba ya Wawakilishi (Marekani)|Nyumba ya Wawakilishi]]. Wabunge wake huitwa "'''seneta'''".
Kila jimbo kwenye [[shirikisho]] la
Idadi ya majimbo ya Marekani ni 50 hivyo kuna maseneta 100. Uchaguzi si wakati pamoja kwa wote lakini theluthi moja inachaguliwa kila baada ya miaka miwili.
|