Tofauti kati ya marekesbisho "Karate"

95 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Karate WC Tampere 2006-2.jpg|200px|thumbnail|Mashindano ya Karate]]
[[File:Obi-gokyū.jpg|thumb|right|220px|Kanda za karate zenye rangi mbalimbali]]
'''Karate''' (pia '''kareti''', jap.kutoka [[Kijapani]]: 空手) ni aina ya [[michezo ya mapigano]] kutoka nchini [[JapanJapani]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Okinawa]] ikafikaikaenea Japani penyewe kwenye chanzomwanzo chawa [[karne ya 20]] na kusambaa [[duniani]] baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>{{Cite web |url=http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2009-03-02 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |archivedate=2009-03-02 }}</ref>
 
Karate inatumia pandekama zote[[silaha]] za mwilimapigano kamapande silahazote za mapigano[[mwili]] kama vile [[mkono]], [[ngumi]], [[kisugudi]] au [[mguu]].
'''Karate''' (pia '''kareti''', jap. 空手) ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini [[Japan]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa ikafika Japani penyewe kwenye chanzo cha karne ya 20 na kusambaa duniani baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>{{Cite web |url=http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2009-03-02 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html |archivedate=2009-03-02 }}</ref>
 
Karate inatumia pande zote za mwili kama silaha za mapigano kama vile [[mkono]], [[ngumi]], [[kisugudi]] au [[mguu]].
 
Mafunzo ya karate huwa na ngazi tatu:
* '''kihon''' inahusu misingi
* '''kata''' ni namna ya kutumia misingi hiihiyo
* '''kumite''' ni matumizi yake katika mapigano
 
Kati ya michezo ya mapigano kama [[mchezo wa ngumi]] au kupiga [[mwereka]] karate inaweka mkazo kwa nguvu ya kiroho sawa na nguvu ya mwili.
 
Karate ilifahamikaimefahamika duniani zaidi kutoka [[filamu]] za karate kuanzia [[miaka ya [[1960]].
 
== Nguo za Karate ==
Wakati wa kucheza karate watu huvaa [[nguo]] za pekee zinazoitwa ''karategi'' ambazo ni [[suruali]] na [[jaketi]] nyeupe. Juu ya jaketi huwa na [[ukanda]] mwenyewenye [[rangi]] fulani. Rangi inaonyesha [[cheo]] ambacho mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.
 
Wakati wa kucheza karate watu huvaa nguo za pekee zinazoitwa ''karategi'' ambazo ni suruali na jaketi nyeupe. Juu ya jaketi huwa na ukanda mwenye rangi fulani. Rangi inaonyesha cheo mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.
 
== Karate katika Mchezo ya Olimpiki ==
Karate itachezwa kwa mara ya kwanza katika [[Michezo ya Olimpiki]] [[2020mwaka]] [[2021]] mjini [[Tokyo]].<ref>{{Cite web|title=Olympic karate at Tokyo 2020: Top five things to know|url=https://olympics.com/en/featured-news/olympic-karate-tokyo-2020-games-2021-top-five-things|work=Olympic Channel|accessdate=2021-05-25}}</ref>
 
Karate itachezwa kwa mara ya kwanza katika Michezo ya Olimpiki [[2020]] mjini Tokyo.<ref>{{Cite web|title=Olympic karate at Tokyo 2020: Top five things to know|url=https://olympics.com/en/featured-news/olympic-karate-tokyo-2020-games-2021-top-five-things|work=Olympic Channel|accessdate=2021-05-25}}</ref>
 
==Viungo vya Nje ==
*{{Commons category|Karate}}
*[http://www.wkf.net/ Shirikisho la Karate Duniani]
*{{Commons category|Karate}}
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-michezo}}
 
{{mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Karate}}
 
[[Jamii:Japani]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki]]
[[Jamii:Michezo ya mapigano]]
[[Jamii: Arusha Translation-a-thon]]
Anonymous user