Senati (Marekani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Capitol-Senate.JPG|thumb|300px|[[Jengo]] la Capitol [[Mji|mjini]] [[Washington DC]] ni makao ya senati.]]
'''Senati ya MaunganoMuungano yawa Madola ya Amerika''' ''(kutoka [[Kilatini]] "senatus" - [[baraza]] la [[wazee]])'' ni sehemu ya [[bunge]] la [[Marekani]] pamoja na [[Nyumba ya Wawakilishi (Marekani)|Nyumba ya Wawakilishi]]. [[Wabunge]] wake huitwa "'''senetamaseneta'''".
 
Kila [[jimbo]] kwenye [[shirikisho]] la Muungano yawa Madola ya Amerika linachagua maseneta wawili kwa kipindi cha miaka sita bila kubagua kati ya majimbo. Maana yake jimbo kama [[Wyoming]] lenye wakazi [[nusu]] [[milioni]] inalina maseneta wawili sawa na jimbo la [[Kalifornia]] lenye wakazi milioni 37.
Idadi ya majimbo ya Marekani ni 50 hivyo kuna maseneta 100. Uchaguzi si wakati pamoja kwa wote lakini theluthi moja inachaguliwa kila baada ya miaka miwili.
 
[[Idadi]] ya majimbo ya Marekani ni 50 hivyo kuna maseneta 100. [[Uchaguzi]] si wakati pamojammoja kwa wote lakini [[theluthi]] moja inachaguliwa kila baada ya miaka miwili.
Pamoja na sehemu nyingine ya bunge yaani Nyumba ya Wawakilishi Senati inamua juu ya sheria zinzopaswa kupita pande zote mbili.
 
Pamoja na sehemu nyingine ya bunge, yaani Nyumba ya Wawakilishi, Senati inamuainaamua juu ya [[sheria]] zinzopaswazinazopaswa kupita pande zote mbili.
Senati ina jukumu la kuamua juu ya [[vita]] na [[amani]]. Rais anapaswa kupata kibali cha senati kabla ya kuita maafisa muhimu kama ma[[waziri]] na ma[[hakimu]] wa mahakama kuu ya kitaifa.
 
Senati ina [[jukumu]] la kuamua juu ya [[vita]] na [[amani]]. [[Rais]] wa nchi anapaswa kupata kibali cha senati kabla ya kuita [[afisa|maafisa]] muhimu kama ma[[waziri]] na ma[[hakimu]] wa [[mahakama kuu]] ya kitaifa.
Seneta anapaswa kuwa na umri wa angalau miaka 30 na kuwa raia wa Marekani tangu miaka 9 au zaidi.
 
Seneta anapaswa kuwa na [[umri]] wa angalau miaka 30 na kuwa [[raia]] wa Marekani tangu miaka 9 au zaidi.
{{mbegu-siasa}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Siasa ya Marekani]]
[[Jamii:Senati (Marekani)| ]]