Senati (Marekani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Reverted
d Masahihisho aliyefanya Justine Msechu (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 1:
[[Picha:Capitol-Senate.JPG|thumb|300px|[[Jengo]] la Capitol [[Mji|mjini]] [[Washington DC]] ni makao ya senati.]]
'''Senati ya Muungano wa Madola ya Amerika''' ''(kutoka [[Kilatini]] "senatus" - [[baraza]] la [[wazee]])'' ni sehemu ya [[bunge]] la [[Marekani]] pamoja na [[Nyumba ya Wawakilishi (Marekani)|Nyumba ya Wawakilishi]]. [[Wabunge]] wake huitwa "'''maseneta'''".
 
Kila [[jimbo]] kwenye [[shirikisho]] la Muungano wa Madola ya Amerika linachagua maseneta wawili kwa kipindi cha miaka sita bila kubagua kati ya majimbo. Maana yake jimbo kama [[Wyoming]] lenye wakazi [[nusu]] [[milioni]] lina maseneta wawili sawa na jimbo la [[Kalifornia]] lenye wakazi milioni 37.
Mstari 8:
Pamoja na sehemu nyingine ya bunge, yaani Nyumba ya Wawakilishi, Senati inaamua juu ya [[sheria]] zinazopaswa kupita pande zote mbili.
 
Senati ina [[jukumu]] la kuamua juu ya [[vita]] na [[amani]]. [[Rais]] wa nchi anapaswa kupata kibali cha senati kabla ya kuita [[afisa|maafisa]] muhimu kama ma[[waziri]] na ma[[hakimu]] wa [[mahakama kuu]] ya kitaifa.
 
Seneta anapaswa kuwa na [[umri]] wa angalau miaka 30 na kuwa [[raia]] wa Marekani tangu miaka 9 au zaidi.