Mmea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Diversity of plants image version 5.png|thumb|MimeaAina mbalimbali za mimea.]]
'''Mimea''' (kwa [[Kiingereza]]: "plants", kutoka [[Kilatini]] "Plantae") ni [[moja]] kati ya [[Kundi|makundi]] ya [[viumbe hai]] [[duniani]] likijumuisha [[miti]], [[maua]], [[mitishamba]] na kadhalika. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
[[Sayansi]] inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ambayo ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] mimea hujumlishwa katika [[himaya ya plantae]] kwenye [[milki]] ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]]).
Mstari 33:
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-mmeabiolojia}}
 
[[Jamii:Mimea]]
[[Jamii:Biolojia]]