Waarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
{{Legend|#00c152|+ 100,000}}]]
 
'''Waarabu''' (kwa [[Kiarabu]] عَرَبِ, <small>matamshi ya Kiarabu:</small> [ʕarabi]) ni [[watu]] ambao [[lugha mama]] yao ya asili ni [[Kiarabu]] wakijitambua vile.
 
==Asili ya Waarabu na uenezaji==
Kiasili walikuwa watu wa [[Bara Arabu]] na maeneo jirani katika [[Syria]] na [[Iraki]]<ref>{{Cite book|url=https://www.upenn.edu/pennpress/book/15372.html|title=Nationalism, Language, and Muslim Exceptionalism|last=Mabry|first=Tristan James|date=2015|publisher=University of Pennsylvania|isbn=9780812246919|pages=53-85|access-date=23 May 2021}}</ref> , lakini tangu kuja kwa [[Uislamu]] walienea nje ya eneo asilia hasa katika [[Afrika ya Kaskazini]] na nchi za [[Mashariki ya Kati]] ambako walijichangaya na wenyeji wambaoambao wengi wao wamepokea [[lugha]] ya KarabuKiarabu tangu [[karne]] nyingi na kujitazama kama Waarabu pia.
 
Kutokana na [[uhamiaji]] wako pia katika [[Afrika ya Mashariki]], [[Visiwa]] vya [[Komoro]] na visiwa vingine vya [[Bahari ya Hindi|Bahari Hindi]], [[Amerika]], [[Ulaya ya Magharibi|Ulaya Magharibi]], [[Indonesia]], [[Uhindi]] na [[Uajemi|Iran]] . <ref name=":0">{{Cite book|title=Music and media in the Arab world|date=2010|publisher=The American University in Cairo Press|isbn=978-977-416-293-0|editor-last=Frishkopf|editor-first=Michael|edition=1st|location=Cairo}}</ref> <ref>{{Cite book|title=Main characteristic and development trends of migration in the Arab world|last=Bureš|first=Jaroslav|date=2008|publisher=Institute of International Relations|isbn=978-80-86506-71-5|location=Prague}}</ref> <ref name="Arab People">{{Cite web|title=Arab (People)|url=https://www.britannica.com/topic/Arab|accessdate=19 December 2020|work=Britannica}}</ref> <ref>{{Cite book|title=Main characteristic and development trends of migration in the Arab world|last=Bureš|first=Jaroslav|date=2008|publisher=Institute of International Relations|isbn=978-8086506715|location=Prague}}</ref> <ref>Chapter 4. Modern Standard Arabs". Nationalism, Language, and Muslim Exceptionalism, Philadelphia: University of Pennsylvania Press, 2015, pp. 53-85. https://doi.org/10.9783/9780812291018.53</ref>
 
[[Dini]] ya [[Uislamu]] ulianziailianzia kati ya Waarabu na hivyo Kiarabu ndiondiyo lugha ya [[Qurani]] na maandiko ya Kiislamu, na Waarabu wengi ni [[Mwislamu|Waislamu]] . Walakini kati ya WaialmuWaislamu wote Waarabu ni kama [[asilimia]] 20% tu. <ref>{{Cite web|url=https://berkleycenter.georgetown.edu/essays/demographics-of-islam|title=Demographics of Islam|accessdate=28 September 2020|archivedate=9 October 2020|archiveurl=https://web.archive.org/web/20201009120840/https://berkleycenter.georgetown.edu/essays/demographics-of-islam}}</ref>
 
== Historia ==
Kihistoria Waarabu walitajwa mara ya kwanza mara ya kwanza wakati wa [[karne ya 9 KK]] kama [[makabila]] kwenyeya [[mashariki]] na [[kusini]] mwa [[Syria]] na [[kaskazini]] mwa Bara Arabu. <ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=-cRrGQ8bIAkC|title=The Ituraeans and the Roman Near East: Reassessing the Sources|last=Myers|first=E. A.|date=11 February 2010|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-1-139-48481-7|page=18}}</ref> Waarabu wanaonekana walikuwa chini ya [[wafalme]] wa [[Ashuru|Milki ya Ashuru]] ([[911 KK|911]]-[[612 KK]]), na baadaye chini ya [[Babeli|Milki ya Babeli]] iliyofuata ([[626 KK|626]]-[[539 KK]]), [[Uajemi ya Kale#Waakhameni|Waakhemi]] ([[539 KK|539]]-[[332 KK]]), Seleukidi na Waparthi. Katika karne ya 3 KK Waarabu wa Nabatea waliunda ufalme wao karibu na [[PetraWaseleukidi]] katika Yordani ya leo. Makabila ya Kiarabu kama Waghassanidi na Walakhmidi huanza kuonekana katika jangwa la Syria Kusini kuanzia katikati ya [[Karne ya 3 KK|karne ya 3 BKWaparthi]] wakiunda milki zao zilizoshirikiana na [[Dola la Roma]] na Wasasani. Hadi karne ya 7 sehemu ya Waarabu hasa wa magharibi mwa eneo lao walikuwa Wakristo, wengine pia Wayahudi.
 
Katika [[karne ya 3 KK]] Waarabu wa [[Nabatea]] waliunda [[ufalme]] wao karibu na [[Petra]] katika [[Yordani]] ya leo. Makabila ya Kiarabu kama Waghassanidi na Walakhmidi huanza kuonekana katika [[jangwa]] la Syria Kusini kuanzia katikati ya [[Karne ya 3|karne ya 3 BK]] wakiunda milki zao zilizoshirikiana na [[Dola la Roma]] na [[Wasasani]]. Hadi [[karne ya 7]] sehemu ya Waarabu hasa wa magharibi mwa eneo lao walikuwa [[Wakristo]], wengine pia [[Wayahudi]].
Baada ya Muhamad, [[Khalifa#Makhalifa wanne wa kwanza|makhalifa wa kwanza]] (632-661 BK) waliunganisha Waarabu wote chini ya utawala wao. wakaendelea kuvamia milki jirani za Dola la Roma na Uajemi ya Wasasani. Kote walianza kutumia [[Kiarabu|lugha ya Kiarabu]] kama lugha ya utawala. Makabila mengi kutoka Bara Arabu yalianza kuhamia katika nchi zilizovamiwa katika hiyo milki kubwa ya Kiislamu iliyoenea kutoka [[Moroko]] na [[Hispania]] upande wa maghararibi hadi mipaka ya [[China]] na [[Uhindi]] upande wa mashariki.<ref>{{Cite book|title=A history of the Arab peoples|last=Ruthven|first=Albert Hourani; with a new afterword by Malise|date=2010|publisher=Belknap Press of Harvard University Press|isbn=978-0-674-05819-4|edition=1st Harvard Press pbk.|location=Cambridge, Mass.}}</ref> Katika karne zilofuata, wakazi wengi wa maeneo hayo walianza kuwa Waislamu na kutumia Kiarabu kama lugha ya kidini na ya kielimu; hasa katika sehemu kubwa ya Afrika Kaskazini pamoja na Misri na katika nchi za Asia Magharibi (hasa nchi za leo Syria, Lebanoni, Iraki) wenyeji wengi walianza kutumia Kiarabu kama lugha yao na hivyo kuitwa Waarabu.
 
Baada ya [[Muhamad]], [[Khalifa#Makhalifa wanne wa kwanza|makhalifa wa kwanza]] ([[632]]-[[661]] BK) waliunganisha Waarabu wote chini ya [[utawala]] wao. wakaendelea kuvamia milki jirani za Dola la Roma na Uajemi ya Wasasani. Koteote walianza kutumia [[Kiarabu|lugha ya Kiarabu]] kama lugha ya utawala. Makabila mengi kutoka Bara Arabu yalianza kuhamia katika nchi zilizovamiwa katika hiyo milki kubwa ya Kiislamu iliyoenea kutoka [[Moroko]] na [[Hispania]] upande wa maghararibimagharibi hadi mipaka ya [[China]] na [[Uhindi]] upande wa mashariki.<ref>{{Cite book|title=A history of the Arab peoples|last=Ruthven|first=Albert Hourani; with a new afterword by Malise|date=2010|publisher=Belknap Press of Harvard University Press|isbn=978-0-674-05819-4|edition=1st Harvard Press pbk.|location=Cambridge, Mass.}}</ref> Katika karne zilofuata, wakazi wengi wa maeneo hayo walianza kuwa Waislamu na kutumia Kiarabu kama lugha ya kidini na ya kielimu; hasa katika sehemu kubwa ya Afrika Kaskazini pamoja na [[Misri]] na katika nchi za [[Asia Magharibi]] (hasa nchi za leo Syria, [[Lebanoni]], Iraki) wenyeji wengi walianza kutumia Kiarabu kama lugha yao na hivyo kuitwa Waarabu.
Kwa karne nyingi Waarabu hao walitawaliwa na [[Milki ya Osmani]]<ref>"[http://www.nzhistory.net.nz/war/ottoman-empire/arab-revolt The Arab Revolt, 1916-18 | The Ottoman Empire]." ''New Zealand History''. [[Ministry for Culture and Heritage]]. 30 July 2014.</ref> . Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] (1914-1918) milki hiyo ilivunjwa na kugawiwa kwa maeneo ya nchi za Kiarabu za leo<ref>{{Cite book|title=Frontiers of the state in the late Ottoman Empire : Transjordan, 1850–1921|last=Rogan, Eugene L.|date=2004|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-89223-0|oclc=826413749}}</ref> ambazo kwa muda mfupi zilitawaliwa bado kama koloni au [[nchi lindwa]] chini ya Uingereza na Ufaransa.
 
Kwa karne nyingi Waarabu hao walitawaliwa na [[Milki ya Osmani]]<ref>"[http://www.nzhistory.net.nz/war/ottoman-empire/arab-revolt The Arab Revolt, 1916-18 | The Ottoman Empire]." ''New Zealand History''. [[Ministry for Culture and Heritage]]. 30 July 2014.</ref> . Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ([[1914]]-[[1918]]) milki hiyo ilivunjwa na kugawiwa kwa maeneo ya nchi za Kiarabu za leo<ref>{{Cite book|title=Frontiers of the state in the late Ottoman Empire : Transjordan, 1850–1921|last=Rogan, Eugene L.|date=2004|publisher=Cambridge University Press|isbn=978-0-521-89223-0|oclc=826413749}}</ref> ambazo kwa muda mfupi zilitawaliwa bado kama koloni[[makoloni]] au [[nchi lindwa]] chini ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]].
Mwaka 1945 nchi hizo ziliunda [[Jumuiya ya Nchi za Kiarabu]].<ref name="History">"[http://www.history.com/this-day-in-history/arab-league-formed Arab League formed | This Day in History — 3/22/1945]." ''[[History.com|HISTORY]]''. US: [[A&E Television Networks]]. 2010. Retrieved on 28 April 2014.</ref>
 
[[Mwaka]] [[1945]] nchi hizo ziliunda [[Jumuiya ya Nchi za Kiarabu]].<ref name="History">"[http://www.history.com/this-day-in-history/arab-league-formed Arab League formed | This Day in History — 3/22/1945]." ''[[History.com|HISTORY]]''. US: [[A&E Television Networks]]. 2010. Retrieved on 28 April 2014.</ref>
[[Picha:Arab League member states (orthographic projection).svg|300px|thumb|Wanachama wa Juuiya ya Nchi za Kiarabu]]
 
[[Picha:Arab League member states (orthographic projection).svg|300px|thumb|Wanachama wa JuuiyaJumuiya ya Nchi za Kiarabu.]]
 
== Nchi za Waarabu ==